Mbeya: Auawa kwa kupigwa Risasi kisa kudai ushuru wa maegesho wa shilingi 7,500

Wote walikuwa vichaa [emoji41] mdai hakuwa na subira, mdaiwa ukichaa ukazidi.

Mwisho wa yote utasikia kosa la marehemu.


Money will speak loudly

ukichaa wa mdaiji umeutafsirije shangazi!!!

maana mpaka deni limefika 7500 kulikuwa na uzungu mwingi sana katikati hapo.jamaa huko juu kasimulia vyema tukio,kumbe mzee wa watu kapigwa baada ya risasi kumkosa mtu mwingine.si kwamba alikuwa anamfokea jamaa yetu mwenye Hilux na bastola.
 
Ushamba mbaya Sana.....Bibi yangu used to say ushamba mzigo wa senyenge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…