Jambo lipo hivi jamaa alikamatwa gari ikapigwa Chain si mnajua vihelehele via hawa jamaa then wakapeleka Gari yard kwao kule ndio jamaa akawaomba arudi kulipa baadae ndipo marehem akaenda Ku block gate na ndani ya Gari kulikuwa na mzigo wa dhahabu jamaa ndio katoka polini
View attachment 2429231
Acha ushirikina wako .
Katizame video ya mauaji halafu urudi upya uelezs vzr.
Huyo mwenye gari Alifuatwa akagongewa dirishani akakutwa anaongea na simu.
Akaachwa amalize kuongea na simu.
Alipomaliza akafahamishwa kuhusu kudaiwa deni la parking ,akagoma kulipa HADI aoneshwe hilo deni limetokana na nini.
Akaambiwa waende ofisini akapirintiwe. Akaenda HUKO ofisini. Alipofika HUKO inadaiwa aliprintiwa na bado akagoma kulipa. Akakimbilia Kwenye gari akawa anarudisha Rivas Kwa fujo na kutaka kutoka.
Kijana mmoja WA hapo alikimbilia kufunga geti maana aliona huyo mtu atakuwa katoka Kwa Shari HUKO juu.
Wakati kijana anafunga geti yule jamaa alishuka Kwenye gari akawa anamuuliza unanijua Mimi ni nani? Wakajibizana pale ,Sasa huuu kijana aliinama. akawa anafunga kamba kiatu chake hiyo ndo pona yake .
Huyo Mzee ALIKUWA anakuja kuja Kwenye eneo hilo walikuwa wanajibizana.
Risasi aliifyatua Kwa lengo la kumuua huyo kijana aliyekuwa anajibizana NAYE ila Kwa kuwa huyo kijana ALiinama kufunga kiatu chake risasi ilivyofyatuliwa ikamkosa ikaenda kumpiga huyo Mzee KIFUANI.
Baada ya hapo huyo kijana akaenda kumvagaa muuaji na silaha ikadondoka chini na wananchi wakaja kama kawaida Yao wakafanya sehemu Yao.
Yule kijana akaichukua silaha akaikimbiza polis wakiwa na mfanyakazi mwenzake.
Wakiwa polis wakapigiwa Simu yule Mzee amefariki tayar
Polis WALIWAHI eneo la tukio na kumchukua mtuhumiwa na tayari yupo Kwenye mikono salama la jeshi la polis mbeya.
Muda wowote atafikishwa mahakamani kujibu shitaka atakalofunguliwa nalo.
Usipende kupotosha taarifa Kwa maslahi yako binafsi.
Katizame video vzr.