muhweza
JF-Expert Member
- Feb 22, 2022
- 986
- 1,394
Dah hii nchi ndo tumefikia huku mtu anaua na hakai gerezaniKaa hivyo hivyo, akienda jela katika awamu hii niite mbwa nimekaa hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah hii nchi ndo tumefikia huku mtu anaua na hakai gerezaniKaa hivyo hivyo, akienda jela katika awamu hii niite mbwa nimekaa hapa
Af ukishajua ni serikali ya wenye nacho nn kinafata mzee babaKweli mkuu huyu akiachiwa bila kuhukumiwa Basi nitajua hii Ni Serikali ya wenye nacho.
Si ndiyo hapo!!Aiseeee Mental Health problem is real.
Yaani una Puto Hilux unabishana na mzee kwa 7500? Muuza madini?? Huyo mzee wa 58 si ungempa na Tip ya elfu 20 akawape wajukuu ili upate thawabu?
Muda wa kulipa marejesho huu. Inatafutwaga sababu tu.Mtu mmja aliyejulikana kwa jina la William Mgaya ambaye ni wakala wa kukusanya ushuru wa magari ameuawa kwa kupigwa risasi na mfanyabiashara wa madini kutoka Chunya.
Polisi wa Mbeya wanamshikilia mtuhumiwa kwa hatua zaidi za kisheria.
My Take
Serikali kuweni makini na kuwapa watu silaha, siyo kila mwenye vijisenti anafaa kupewa silaha.
----
Polisi mkoani Mbeya inamshikilia Ezekia Luhwesha (31) mchimbaji na mnunuzi wa madini mkazi wa Matundasi Chunya,kwa tuhuma za kumuua kwa kumpiga risasi wakala wa maegesho ya magari William Mgaya (58) baada ya kumshinikiza alipe deni la Sh.7500 ya uegeshaji gari lake (Toyota Hilax)
Wale mabaunsa wanaoitwaga kuja ku tow gari yenye mgogoro ndiyo walitakiwa wapigwe risasi mia mia kila mmoja, wale ni vibaka,wanakuja wamelewa huku wamevuta mibangi,hawaelewi hata ukiwaeleweshakuna mtu alibishana na mtu wa parking kwa deni la elfu moja, baada ya mda gari likafungwa chain ikabidi alipie 50,000 ili afunguliwe, kuna mambo inabidi kuyamaliza tu kwa namna yoyote hata kama hayapo sawa.
Cc GeitaHuko mbeya napo sijui kumekuaje siku hizi,haipiti siku bila kusikia kesi ya mauajj au ubakaji ikiripotiwa kutoka pande hizo.
Amefanya vibaya sana, ila kati ya watu wapuuzi na wasiojielewa ni hao wa parking, wanajiona wababe sana, wana ujinga wa kutisha, wanaweza beba gari lake kupeleka yard kizembe tu, yani hao watu ni wajinga kweli...
Sasa picha ya gari yake ya nini?gari Wala halihusiani,na mtu kupigwa risasi!ushuru wa parking ni kwa kila gari,sio aina ya gari,kwamba kwa vile Hilux ilidaiwa 7500,ndio maana mtu kapigwa risasi?!Mtu mmja aliyejulikana kwa jina la William Mgaya ambaye ni wakala wa kukusanya ushuru wa magari ameuawa kwa kupigwa risasi na mfanyabiashara wa madini kutoka Chunya.
Polisi wa Mbeya wanamshikilia mtuhumiwa kwa hatua zaidi za kisheria.
My Take
Serikali kuweni makini na kuwapa watu silaha, siyo kila mwenye vijisenti anafaa kupewa silaha.
----
Polisi mkoani Mbeya inamshikilia Ezekia Luhwesha (31) mchimbaji na mnunuzi wa madini mkazi wa Matundasi Chunya,kwa tuhuma za kumuua kwa kumpiga risasi wakala wa maegesho ya magari William Mgaya (58) baada ya kumshinikiza alipe deni la Sh.7500 ya uegeshaji gari lake (Toyota Hilax)
Uko sahihi kabisa niko Mbeya ni ilinikuta hiyo Mwanjelwa nje ya soko, tumeongea tukakubaliana tuyamalize mmoja akaning’ang’ania twende ofisi za City anyway nilipofika sikutaka maelezo nikalipa laki 2. Japo ningekua na tatizo la afya ya akili lungeweza kutokea km hilo.
Japo si vizuri kutumia silaha kwa mambo km haya ila ni muhimu hawa watu wakatumia busara kwenye kazi yao.
Nashukuru Mungu kwetu arusha wamepungua sana,wengi walijirestisha wenyewe,ila sijui ni hali ya hewa ya arusha huwa inawafanya wakaazi wake wawe fyatu? Niliingiaga kwenye kiji pub flani maarufu mjini kipo ubavuni mwa hospitali ya seliani,kwa muda mfupi tu niliokaa hapo nilifanikiwa kuona watu wa3 tofauti wakichezea hivyo vi mfyatuko,ushamba tuNa washamba wengi sahv ndy wanamiliki silaha
Ova
Najua Mimi Cha kufanyaAf ukishajua ni serikali ya wenye nacho nn kinafata mzee baba
Sure hata mimi naamini hilo..hatakaa sanaHuyo anatoka tu kesho