Mbeya: Auawa kwa kupigwa Risasi kisa kudai ushuru wa maegesho wa shilingi 7,500

Mbeya: Auawa kwa kupigwa Risasi kisa kudai ushuru wa maegesho wa shilingi 7,500

Sasa,weye uwe unatumia hikma kiasi.Huyo mtu anayetuhumiwa kuua yupo lupango.Kwa hisia na mawazo yako umeshalifanyia suala lake hadi hukumu kabisa.Usigeuze hisia zako kuwa realities!Sasa nikikutajia jinsi na umri wangu nini faida yake kuhusu marehemu na mtuhumiwa?Unapendelea niwe natembea huku nimefungua fliers za suriali huku nimebandika kibao cha umri usoni?Rudi kwenye suala la msingi.cc@FAIZHAD
 
Kaa hivyo hivyo, akienda jela katika awamu hii niite mbwa nimekaa hapa
Hahahahaa kweli aisee huyo ni mlipakodi kwa serikali ambaye anainufaisha hii nchi kwa namna yeyote ile...Hapo ni kumweka safe place na ndugu jamaa na marafiki wa huyo aliepoteza maisha baada ya hapo utaratibu ni uleule wa funika kombe mwanaharamu apite baada ya siku kadhaa anarudi kitaa na kuendelea na shughuli zake...Hasara sio kwa serikali bali ni hiyo familia ya aliepoteza maisha kama masihara hivi kwa sababu ya 7,500/=
 
Polisi mkoani Mbeya inamshikilia Ezekia Luhwesha (31) mchimbaji na mnunuzi wa madini mkazi wa Matundasi Chunya,kwa tuhuma za kumuua kwa kumpiga risasi wakala wa maegesho ya magari William Mgaya (58) baada ya kumshinikiza alipe deni la Sh.7500 ya uegeshaji gari lake (Toyota Hilax)
Kabla ya kupewa silaha wapimwe mkojo na akili
 
Na alivyo zumbukuku saa hizi atakuwa analia tu huko mahabusu.Tuwe na simile.Hata kama mtu kakujibu au kukuuliza bila adabu unapaswa kutulia kwanza kabla hamjajibizana mbovu.Mengine tujifunze kuudhiwa.Haung'oki ngozi.Ona sasa!Shida tupu!
Ditopile nae alimuwa dereva wa Daladala kimasihara Kama huyo Jamaa alivyouwa! Lakini nae baada muda akakutwa kafa Guesthouse!! Maisha yana fumbo kubwa sana!!
 
Chunya mambo ya kuonyesheana bunduki ni ushamba flani wanao sana, hasa jamaa wa Dhahabu! Personally imenikuta mara mbili aisee! Na bunduki nyingi wanananunua Morogoro na Iringa majeshini, zile za soviet na bei vitonga laki 8 hadi 1.5m! Vibali ni suala la kuhonga tu, ndani ya week mtu ana kabunduki chake!
 
Hakuna afya ya akili hapo.

Note: The psychology behind owning a gun watching American movies ni kitu watu hawaelewi. A gun will make you live a gangster life, treating everyperson who throw dirty words an enemy
Tatizo watu wanamilikishwa silaha bila kupewa mafunzo ya nidhamu ya silahaa yenyewe!!
 
Back
Top Bottom