Mbeya: Auawa kwa kupigwa Risasi kisa kudai ushuru wa maegesho wa shilingi 7,500

Jambo lipo hivi jamaa alikamatwa gari ikapigwa Chain si mnajua vihelehele via hawa jamaa then wakapeleka Gari yard kwao kule ndio jamaa akawaomba arudi kulipa baadae ndipo marehem akaenda Ku block gate na ndani ya Gari kulikuwa na mzigo wa dhahabu jamaa ndio katoka poliniView attachment 2429231
Sihukumu lakini huyo kwenye picha anaonekana mjuaji?
 
Eti mwenye pesa hafungwi, nani kasema, atafungwa tu...sawa jamaa atakuwa na pesa je ni billions au millions? Wapuuzi Kama hawa wapo sana hata huku Chugga na makopo Yao used ya kijapan wanajikuuta wakati wapo wanaoendesha mandinga ya Europe matoleo mapya na hawaringi na huwezi kuwakuta vichochoroni Kama Billsriver etc wakiringishia vimiguu vyao vya kuku na makopo Yao used ya kijapan.
 
Hakuna afya ya akili hapo.

Note: The psychology behind owning a gun watching American movies ni kitu watu hawaelewi. A gun will make you live a gangster life, treating everyperson who throw dirty words an enemy
....Ukute hio Shs 7,500 ni Deni limekaa siku nyingi na Kila muosha Magari akikumbushia, mwenye gari analeta masihara na kuchomoa!
Ninaamini mwenye Deni akiamua kulifungis Kazi ilipwe Hela zake.... Na mwenye Bunduki akaona isiwe tabu...na akaamua kumpeleka Mwenzake Kuzimu!![emoji35]
 
Jambo lipo hivi jamaa alikamatwa gari ikapigwa Chain si mnajua vihelehele via hawa jamaa then wakapeleka Gari yard kwao kule ndio jamaa akawaomba arudi kulipa baadae ndipo marehem akaenda Ku block gate na ndani ya Gari kulikuwa na mzigo wa dhahabu jamaa ndio katoka poliniView attachment 2429231
Kwa Nini hakulipa? Kwani alikuwa anangoja kuuza dhahabu ndio alipe?

Unaonekana hako kadogo kalikuwa na jeuri na kiburi Cha tuhela..

Bora Dingi kafa kwa chuma kuliko huyu mpuuzi ambae anaenda kufia jela kwa mateso.
 
Afya ya akili haya mauaji ya namna hii Marekani ni mengi Sana

Watu wapimwe Mara kwa Mara afya ya akili imekuwa sugu.

Unaweza kumpa mtu silaha akiwa mzima baada ya mwaka afya yake ikawa sio.

Uchunguzi wa afya ya akili ufanyike Mara kwa Mara.

Pia watu wanakusanya ushuru wapewe mafunzo ya customer care Wana kauli mbaya mm nimeshakutana nao Sana tu.
Customer care ni tatizo sugu Tanzania, haijalishi ni ofisi ipi wahusika wana lugha mbaya sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu mmja aliyejulikana kwa jina la William Mgaya ambaye ni wakala wa kukusanya ushuru wa magari ameuawa kwa kupigwa risasi na mfanyabiashara wa madini kutoka Chunya.

Polisi wa Mbeya wanamshikilia mtuhumiwa kwa hatua zaidi za kisheria.

My Take
Serikali kuweni makini na kuwapa watu silaha, siyo kila mwenye vijisenti anafaa kupewa silaha.

----
Polisi mkoani Mbeya inamshikilia Ezekia Luhwesha (31) mchimbaji na mnunuzi wa madini mkazi wa Matundasi Chunya,kwa tuhuma za kumuua kwa kumpiga risasi wakala wa maegesho ya magari William Mgaya (58) baada ya kumshinikiza alipe deni la Sh.7500 ya uegeshaji gari lake (Toyota Hilax)

Ni wakati wa wenye pesa
 
Jambo lipo hivi jamaa alikamatwa gari ikapigwa Chain si mnajua vihelehele via hawa jamaa then wakapeleka Gari yard kwao kule ndio jamaa akawaomba arudi kulipa baadae ndipo marehem akaenda Ku block gate na ndani ya Gari kulikuwa na mzigo wa dhahabu jamaa ndio katoka poliniView attachment 2429231
Sijaona sababu ya msingi ya kutumia mashine. Ni ushamba wa pesa tu
 
Jambo lipo hivi jamaa alikamatwa gari ikapigwa Chain si mnajua vihelehele via hawa jamaa then wakapeleka Gari yard kwao kule ndio jamaa akawaomba arudi kulipa baadae ndipo marehem akaenda Ku block gate na ndani ya Gari kulikuwa na mzigo wa dhahabu jamaa ndio katoka poliniView attachment 2429231
Acha ushirikina wako .

Katizame video ya mauaji halafu urudi upya uelezs vzr.

Huyo mwenye gari Alifuatwa akagongewa dirishani akakutwa anaongea na simu.
Akaachwa amalize kuongea na simu.

Alipomaliza akafahamishwa kuhusu kudaiwa deni la parking ,akagoma kulipa HADI aoneshwe hilo deni limetokana na nini.

Akaambiwa waende ofisini akapirintiwe. Akaenda HUKO ofisini. Alipofika HUKO inadaiwa aliprintiwa na bado akagoma kulipa. Akakimbilia Kwenye gari akawa anarudisha Rivas Kwa fujo na kutaka kutoka.

Kijana mmoja WA hapo alikimbilia kufunga geti maana aliona huyo mtu atakuwa katoka Kwa Shari HUKO juu.

Wakati kijana anafunga geti yule jamaa alishuka Kwenye gari akawa anamuuliza unanijua Mimi ni nani? Wakajibizana pale ,Sasa huuu kijana aliinama. akawa anafunga kamba kiatu chake hiyo ndo pona yake .

Huyo Mzee ALIKUWA anakuja kuja Kwenye eneo hilo walikuwa wanajibizana.

Risasi aliifyatua Kwa lengo la kumuua huyo kijana aliyekuwa anajibizana NAYE ila Kwa kuwa huyo kijana ALiinama kufunga kiatu chake risasi ilivyofyatuliwa ikamkosa ikaenda kumpiga huyo Mzee KIFUANI.

Baada ya hapo huyo kijana akaenda kumvagaa muuaji na silaha ikadondoka chini na wananchi wakaja kama kawaida Yao wakafanya sehemu Yao.

Yule kijana akaichukua silaha akaikimbiza polis wakiwa na mfanyakazi mwenzake.

Wakiwa polis wakapigiwa Simu yule Mzee amefariki tayar

Polis WALIWAHI eneo la tukio na kumchukua mtuhumiwa na tayari yupo Kwenye mikono salama la jeshi la polis mbeya.

Muda wowote atafikishwa mahakamani kujibu shitaka atakalofunguliwa nalo.

Usipende kupotosha taarifa Kwa maslahi yako binafsi.

Katizame video vzr.
 
Maoni yangu ni kwambaSerikali iunde Tume huru na ifanye kazi zifuatavyo.

Mosi,Ichunguze Mchakato mzima WA utoaji WA silaha kama unafuatwa bila Upendeleo,Kujuana Au mazingira ya RUSHWA.

Pili,Walomilikishwa he bado wanazo sifa za kuendelea kuzimiliki hizo silaha? Hawatumii kutishia watu ovyo?

Tati, Ije na mapendekezo mujarabu juu ya kumilikisha watu silaha.
 
Acha ushirikina wako .

Katizame video ya mauaji halafu urudi upya uelezs vzr.

Huyo mwenye gari Alifuatwa akagongewa dirishani akakutwa anaongea na simu.
Akaachwa amalize kuongea na simu.

Alipomaliza akafahamishwa kuhusu kudaiwa deni la parking ,akagoma kulipa HADI aoneshwe hilo deni limetokana na nini.

Akaambiwa waende ofisini akapirintiwe. Akaenda HUKO ofisini. Alipofika HUKO inadaiwa aliprintiwa na bado akagoma kulipa. Akakimbilia Kwenye gari akawa anarudisha Rivas Kwa fujo na kutaka kutoka.

Kijana mmoja WA hapo alikimbilia kufunga geti maana aliona huyo mtu atakuwa katoka Kwa Shari HUKO juu.

Wakati kijana anafunga geti yule jamaa alishuka Kwenye gari akawa anamuuliza unanijua Mimi ni nani? Wakajibizana pale ,Sasa huuu kijana aliinama. akawa anafunga kamba kiatu chake hiyo ndo pona yake .

Huyo Mzee ALIKUWA anakuja kuja Kwenye eneo hilo walikuwa wanajibizana.

Risasi aliifyatua Kwa lengo la kumuua huyo kijana aliyekuwa anajibizana NAYE ila Kwa kuwa huyo kijana ALiinama kufunga kiatu chake risasi ilivyofyatuliwa ikamkosa ikaenda kumpiga huyo Mzee KIFUANI.

Baada ya hapo huyo kijana akaenda kumvagaa muuaji na silaha ikadondoka chini na wananchi wakaja kama kawaida Yao wakafanya sehemu Yao.

Yule kijana akaichukua silaha akaikimbiza polis wakiwa na mfanyakazi mwenzake.

Wakiwa polis wakapigiwa Simu yule Mzee amefariki tayar

Polis WALIWAHI eneo la tukio na kumchukua mtuhumiwa na tayari yupo Kwenye mikono salama la jeshi la polis mbeya.

Muda wowote atafikishwa mahakamani kujibu shitaka atakalofunguliwa nalo.

Usipende kupotosha taarifa Kwa maslahi yako binafsi.

Katizame video vzr.
Anatoka hamna kesi hapo
 
Huyu jamaa wakambane pumbu, mbali na kutumia akili za nyani huyu ni kichaa 7.5k una ua mtu huyu hata akikudai one week tu ujiandae kuuliwa mzee [emoji2296][emoji2955]
 
Back
Top Bottom