KERO Mbeya: Baadhi ya Mitaa ya Jiji la Mbeya ni michafu, tunakaribisha Milipuko ya Magonjwa

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Nilijua tumempata kiongozinmwanamke ambaye atajali usafi kama wanawake walivyo,kumbe hajali Wala hajui.
Kipindupindu kinauwa watu,watu hawana vyoo, watu hawana maji safi na salama
 
Leo katika pitapita zangu kwenye mitaa mbalimbali ya Jiji la Mbeya nimejionea namna ambavyo Jiji hili lilivyo chafu.

Viroba vya takataka vimerundikwa kila Mahali katika mitaa ya Jiji hili.

Wenye mamlaka ya kukusanya taka nao nikama hawaoni namna ambavyo Jiji limetapakaa uchafu.

Pia soma: DOKEZO - Mbeya: Wafanyakazi wa Dampo la Nsalaga wageuka wafanyabiashara wa bidhaa zinazotupwa hapo

Tunaelekea kipindi Cha masika chonde chonde ndugu zangu wa halmashauri ya Jiji la Mbeya oneni hili lasivyo tutapata magonjwa ya mlipuko.

Kuna miaka mji wa Mbeya uliongoza kwa usafi nchini, CCM wanapenda kushika madaraka lakini hawana uwezo wa kuendesha nchi.
 
Leo katika pitapita zangu kwenye mitaa mbalimbali ya Jiji la Mbeya nimejionea namna ambavyo Jiji hili lilivyo chafu.

Viroba vya takataka vimerundikwa kila Mahali katika mitaa ya Jiji hili.

Wenye mamlaka ya kukusanya taka nao nikama hawaoni namna ambavyo Jiji limetapakaa uchafu.

Pia soma: DOKEZO - Mbeya: Wafanyakazi wa Dampo la Nsalaga wageuka wafanyabiashara wa bidhaa zinazotupwa hapo

Tunaelekea kipindi Cha masika chonde chonde ndugu zangu wa halmashauri ya Jiji la Mbeya oneni hili lasivyo tutapata magonjwa ya mlipuko.

Hilo si jiji bwana ni collection ya watu wengi
 
Itumbi,chunya DC, mkoa wa mbeya, Hadi Leo wamekufa zaidi ya watu 20, kwa ugonjwa wa kipindupindu.
 
Sio jiji Tu hata watu wa mbeya kiasili ni wachafu, kujenga wamejenga hovyohovyo bila mpangilio, Kilimanjaro hadi mabibi vijijini husafisha mazingira kuzunguka nyumba kila asubuhi na kupanda Maua na bustani nzuri mbeya Hilo halipo , wako rafu hata mitaa yao haijapangika kwa barabara kama hata makambako, mbinga, babati, kahama, ifakara , mbeya wanajua kujirundika kama viroba vya takataka sehemu moja , msiba unatokea inabidi aombe kwa jirani,
Shida mbeya kubwa ni mipango miji hili linafanya mji kukosa hata Barabara za mitaa draft za lami mbeya ni chache mno na kwa Sasa jiji limejaa ko hata project kubwa ni ngumu kufanyika mji umetapakaa mfano project zinazo hitaji eneo kubwa kama industrial park nk eneo lililo Baki kubwa ni Kilimo uyole na hii ni fursa kwa mikoa ya jilani kama njombeWameamua kutengeneza mji mkubwa wa viwanda na biashara makambako nyanda za juu kUsini mbeya inahitaji kufumuliwa kwa gharama kubwa Ili iende kisasa kama yalivyo majiji MENGINE mfano tu Lusaka Zambia jiji linakuwa kwa mfumo wa viwanda na biashara na eneo lao ni kubwa alafu flat land kama ilivyo makambako kitu ambacho mbeya ingeweza kujifunza na kuteka soko Ukanda huu kwa Sasa walisha kosea eneo la jiji limejaa Wacha mikoa jilan itumie fursa Hilo Ndo jiji la mbeya👇
mbeya-tanzania-drone-vista-a-la-ciudad-en-africa-2najn95.jpg
makambako njombe👇
WhatsApp Image 2024-07-29 at 13.31.30 (1).jpeg
Lusaka zambia👇
1728011393289.jpg
1711350929867.jpg
 
Leo katika pitapita zangu kwenye mitaa mbalimbali ya Jiji la Mbeya nimejionea namna ambavyo Jiji hili lilivyo chafu.

Viroba vya takataka vimerundikwa kila mahali katika mitaa ya Jiji hili.

Wenye mamlaka ya kukusanya taka nao ni kama hawaoni namna ambavyo Jiji limetapakaa uchafu.

Pichani ni mfano tu wa hali ilivyo, hapa ni Mitaa ya Kabwe ambapo ni katikati ya Jiji. Hii sio sawa hata kidogo.

Pia soma: DOKEZO - Mbeya: Wafanyakazi wa Dampo la Nsalaga wageuka wafanyabiashara wa bidhaa zinazotupwa hapo

Tunaelekea kipindi cha masika chondechonde ndugu zangu wa Halmashauri ya Jiji la Mbeya oneni hili la sivyo tutapata magonjwa ya mlipuko.

Halmashauri ipo, Mkurugenzi yupo, bajeti ipo na wafanyakazi wapo na wanalipwa mishahara kwa kazi ambaz hawajazifanya.
 
Sio jiji Tu hata watu wa mbeya kiasili ni wachafu, kujenga wamejenga hovyohovyo bila mpangilio, Kilimanjaro hadi mabibi vijijini husafisha mazingira kuzunguka nyumba kila asubuhi na kupanda Maua na bustani nzuri mbeya Hilo halipo , wako rafu hata mitaa yao haijapangika kwa barabara kama hata makambako, mbinga, babati, kahama, ifakara , mbeya wanajua kujirundika kama viroba vya takataka sehemu moja , msiba unatokea inabidi aombe kwa jirani,
Shida mbeya kubwa ni mipango miji hili linafanya mji kukosa hata Barabara za mitaa draft za lami mbeya ni chache mno na kwa Sasa jiji limejaa ko hata project kubwa ni ngumu kufanyika mji umetapakaa mfano industrial park nk eneo lililo Baki kubwa ni Kilimo uyole na hii ni fursa kwa mikoa ya jilani kama njombeWameamua kutengeneza mji mkubwa wa viwanda na biashara makambako nyanda za juu kUsini mbeya inahitaji kufumuliwa kwa gharama kubwa Ili iende kisasa kama yalivyo majiji MENGINE mfano tu Lusaka Zambia jiji linakuwa kwa mfumo wa viwanda na biashara kitu eneo lao ni kubwa alafu flat land kama ilivyo makambako kitu ambacho mbeya ingeweza kujifunza na kuteka soko Ukanda huu Sasa walisha kosea eneo la jiji limejaa Wacha mikoa jilan itumie fursa Hilo Ndo jiji la mbeya👇 View attachment 3143814makambako njombe👇View attachment 3143817Lusaka zambia👇View attachment 3143818View attachment 3143819
 
Hawa Viongozi wa Serikali za mitaa na Manispaa wamekuwa ni wezi sana na ndio maana hata huu uchaguzi uliopita wamefanya kila aina ya sarakasi ili waendelee kubaki na kufanya ufisadi wa kijinga jinga na kuumiza wananchi wenzao tena wanaishi mtaa mmoja
 
Leo katika pitapita zangu kwenye mitaa mbalimbali ya Jiji la Mbeya nimejionea namna ambavyo Jiji hili lilivyo chafu.

Viroba vya takataka vimerundikwa kila mahali katika mitaa ya Jiji hili.

Wenye mamlaka ya kukusanya taka nao ni kama hawaoni namna ambavyo Jiji limetapakaa uchafu.

Pichani ni mfano tu wa hali ilivyo, hapa ni Mitaa ya Kabwe ambapo ni katikati ya Jiji. Hii sio sawa hata kidogo.

Pia soma: DOKEZO - Mbeya: Wafanyakazi wa Dampo la Nsalaga wageuka wafanyabiashara wa bidhaa zinazotupwa hapo

Tunaelekea kipindi cha masika chondechonde ndugu zangu wa Halmashauri ya Jiji la Mbeya oneni hili la sivyo tutapata magonjwa ya mlipuko.

Kimeshafika,ni serikali kushusha rungu lake kwa wahusika waliozembea,huku wakiendelea kuudhibiti ugonjwa usienee.
 
Back
Top Bottom