KERO Mbeya: Baadhi ya Mitaa ya Jiji la Mbeya ni michafu, tunakaribisha Milipuko ya Magonjwa

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Nilijua tumempata kiongozinmwanamke ambaye atajali usafi kama wanawake walivyo,kumbe hajali Wala hajui.
Kipindupindu kinauwa watu,watu hawana vyoo, watu hawana maji safi na salama
 
Kuna miaka mji wa Mbeya uliongoza kwa usafi nchini, CCM wanapenda kushika madaraka lakini hawana uwezo wa kuendesha nchi.
 
Hilo si jiji bwana ni collection ya watu wengi
 
Itumbi,chunya DC, mkoa wa mbeya, Hadi Leo wamekufa zaidi ya watu 20, kwa ugonjwa wa kipindupindu.
 
Shida mbeya kubwa ni mipango miji hili linafanya mji kukosa hata Barabara za mitaa draft za lami mbeya ni chache mno na kwa Sasa jiji limejaa ko hata project kubwa ni ngumu kufanyika mji umetapakaa mfano project zinazo hitaji eneo kubwa kama industrial park nk eneo lililo Baki kubwa ni Kilimo uyole na hii ni fursa kwa mikoa ya jilani kama njombeWameamua kutengeneza mji mkubwa wa viwanda na biashara makambako nyanda za juu kUsini mbeya inahitaji kufumuliwa kwa gharama kubwa Ili iende kisasa kama yalivyo majiji MENGINE mfano tu Lusaka Zambia jiji linakuwa kwa mfumo wa viwanda na biashara na eneo lao ni kubwa alafu flat land kama ilivyo makambako kitu ambacho mbeya ingeweza kujifunza na kuteka soko Ukanda huu kwa Sasa walisha kosea eneo la jiji limejaa Wacha mikoa jilan itumie fursa Hilo Ndo jiji la mbeya๐Ÿ‘‡ makambako njombe๐Ÿ‘‡Lusaka zambia๐Ÿ‘‡
 
Halmashauri ipo, Mkurugenzi yupo, bajeti ipo na wafanyakazi wapo na wanalipwa mishahara kwa kazi ambaz hawajazifanya.
 
Shida mbeya kubwa ni mipango miji hili linafanya mji kukosa hata Barabara za mitaa draft za lami mbeya ni chache mno na kwa Sasa jiji limejaa ko hata project kubwa ni ngumu kufanyika mji umetapakaa mfano industrial park nk eneo lililo Baki kubwa ni Kilimo uyole na hii ni fursa kwa mikoa ya jilani kama njombeWameamua kutengeneza mji mkubwa wa viwanda na biashara makambako nyanda za juu kUsini mbeya inahitaji kufumuliwa kwa gharama kubwa Ili iende kisasa kama yalivyo majiji MENGINE mfano tu Lusaka Zambia jiji linakuwa kwa mfumo wa viwanda na biashara kitu eneo lao ni kubwa alafu flat land kama ilivyo makambako kitu ambacho mbeya ingeweza kujifunza na kuteka soko Ukanda huu Sasa walisha kosea eneo la jiji limejaa Wacha mikoa jilan itumie fursa Hilo Ndo jiji la mbeya๐Ÿ‘‡ View attachment 3143814makambako njombe๐Ÿ‘‡View attachment 3143817Lusaka zambia๐Ÿ‘‡View attachment 3143818View attachment 3143819
 
Hawa Viongozi wa Serikali za mitaa na Manispaa wamekuwa ni wezi sana na ndio maana hata huu uchaguzi uliopita wamefanya kila aina ya sarakasi ili waendelee kubaki na kufanya ufisadi wa kijinga jinga na kuumiza wananchi wenzao tena wanaishi mtaa mmoja
 
Hawa Viongozi wa Serikali za mitaa na Manispaa wamekuwa ni wezi sana na ndio maana hata huu uchaguzi uliopita wamefanya kila aina ya sarakasi ili waendelee kubaki na kufanya ufisadi wa kijinga jinga na kuumiza wananchi wenzao tena wanaishi mtaa mmoja
 
Kimeshafika,ni serikali kushusha rungu lake kwa wahusika waliozembea,huku wakiendelea kuudhibiti ugonjwa usienee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ