Mbeya: Bajaji yajaza abiria kupita kiasi hadi dereva kuendeshea akiwa ametoa kiuno na miguu nje

Hii ndio CCM ninayo ijua mm.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Mbeya kuna mgomo ,kwahiyo bajaji nauli buku nne so ndiyo fursa yao ya kupiga pesa ,hapo mbele wanakaa wawili.,nyuma wanne.
 
Mbona hii kawaida hapa mbeya man. Hata abiria wenyewe tushazoea. Akikaa hivyo wewe kama umekaa naye mbele unamsaidia kabisa na kumshikia usukani vizuri. I kama akiteleza kwenda nje nie mbaki kwenye motion isiyoumizaa.
 
Huko milima na mabonde hubalansi chombo kisianguke.
 
Mambo yaliharibika viongozi walipoanza kununua bajaji. Lakini kingine, mara mia mji ujae bajaji kuliko kuwa na mabodaboda mengi.
 
Mbona hii kawaida hapa mbeya man. Hata abiria wenyewe tushazoea. Akikaa hivyo wewe kama umekaa naye mbele unamsaidia kabisa na kumshikia usukani vizuri. I kama akiteleza kwenda nje nie mbaki kwenye motion isiyoumizaa.
🔥🔥
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…