GE2025 Mbeya: CCM imekusanya wanafunzi wa shule ya msingi ili wajaze kumbi za kampeni

GE2025 Mbeya: CCM imekusanya wanafunzi wa shule ya msingi ili wajaze kumbi za kampeni

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

tonicimmobility

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2025
Posts
493
Reaction score
1,040
Kwa hali tulipofika sasa hivi tunaenda kulibomoa taifa letu kuanzia taifa la leo hadi taifa la kesho, CCM haiona ajabu tena kuwabeba watoto wa shule ya msingi ili waje kwenye mikutano yao ya kampeni ili mradi tu mahali paonekane pamejaa watu.

Nchi wamejimilikisha, bado hofu inawatanda, wakati huohuo wamekifungia chama kikuu cha upinzani lakini bado hawatosheki hadi kwenda kuwachukua watoto wa shule ya msingi na kuwajaza kwenye kumbi za kampeni zao. Mzee Warioba anasema hii ni sawa na kumnywesha mtoto sumu.

Angalia kwa umakini hii clip video

Soma pia: Shule zote za Serikali Morogoro Mjini zimefungwa muda huu, Walimu na Wanafunzi watakiwa kuhudhuria kampeni za CCM




Mgombea Udiwani Wa Kata ya Nsalaga Kupitia CCM, Clemence Mwandemba Amesema Wanachi Wa Kata Hiyo Wakitaka Maendeleo Basi Hawana Budi Kumchagua Dkt Samia Suluhu Hassan Kuwa Rais Wa Tanzania Na Dkt Tulia Ackson Kuwa Mbunge Wa Jimbo La Uyole.
 
Back
Top Bottom