Mbeya: CHADEMA wapinga agenda ya Katiba Mpya

Mbeya: CHADEMA wapinga agenda ya Katiba Mpya

View attachment 1875543
Wanachama wa CHADEMA Mkoani Mbeya wamejitokeza kupinga agenda ya Katiba Mpya huku wakiwa wamevalia Tshirts za kuhamasisha Katiba Mpya!

Source: TBC1 Habari
Hahaha wanapinga alafu wamevaa tshet za katiba aiseee hao ni wana ccm wenye maslai na katiba ya ss maana wanajua ikipatikana katiba mpya watakula nn, watahudumia vp familia zao wataendeshaje maisha yao hapa duniani lazima wasifu na kuabudu lkn wajue katiba mpya itapatikana tu
 
Bavicha washughulikieni hawa vibaraka wa chama cha wezi wa kura
 
Eti hizi ndizo mbinu mpya za CCM! Tangu lini chanel tena na tbc wakawa vipao mbele kutangaza habari za CHADEMA! Mna mbinu za kitoto kweli.
"Vipaumbele" sio vipao mbele nyambaff
 
Back
Top Bottom