Mbeya: CHADEMA yaendelea kutikisa, Polisi watumika kuiokoa CCM, Wananchi wazomea

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,138
Reaction score
288,731
Ni katika Yale maadhimisho ya miaka 33 ya Chadema, ambapo ofisi mpya ya chama hicho iliyojengwa Inyala ilikuwa inazinduliwa.

Unaambiwa Poliisi baada ya kuona mtiti wa Chadema wakavamia na kupora Bendera, Bado haijafahamika kama wanaenda kuitundika kwao polisi Au wanawapelekea CCM

Katika purukushani hiyo Mwenyekiti wa Chadema Mkoa na Mwenyekiti wa Bavicha wamekamatwa kwa Tuhuma za kuipenda Chadema

UJUMBE: SHETANI HAJAWAHI KUMSHINDA MUNGU
 
CCM INAOGOPA CHADEMA INATUMIA POLISI SERIKALI INAOGOPA CHADEMA INATUMIA POLISI.CHADEMA NI TISHIO
 
Ni katika Yale maadhimisho ya miaka 33 ya Chadema, ambapo ofisi mpya ya chama hicho iliyojengwa Inyala ilikuwa inazinduliwa.

Unaambiwa Poliisi baada ya kuona mtiti wa Chadema wakavamia na kupora Bendera, Bado haijafahamika kama wanaenda kuitundika kwao polisi Au wanawapelekea CCM

Katika purukushani hiyo Mwenyekiti wa Chadema Mkoa na Mwenyekiti wa Bavicha wamekamatwa kwa Tuhuma za kuipenda Chadema

UJUMBE: SHETANI HAJAWAHI KUMSHINDA MUNGU
Katika purukushani hiyo Mwenyekiti wa Chadema Mkoa na Mwenyekiti wa Bavicha wamekamatwa kwa Tuhuma za kuipenda Chadema
 
Ni kama police ili ubakie kwenye nafasi uliyopewa jukumu la kwanza ni kupambana na chadema kwa kila hali na ukifanya makosa unaweza porwa nafasi hiyo na kupewa kichaa mwingine ambae ataweza itumia vizuri..

Africa tulihitaji uhuru wa kiraiya ila sio uhuru wa kijitawala kiserikali tunahitaji kuongozwa bado...
 
Back
Top Bottom