Mbeya: Chuo Kikuu Mzumbe wamtaja Kafulila kama mtaalamu mwenye uzoefu zaidi na usimamizi wa miradi ya PPP

Mia770

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2024
Posts
344
Reaction score
271
Copilot_20260703_224438.png

Mhadhara wa umma unaofanyika katika Chuo Kikuu Mzumbe, Ndaki ya Mbeya umehudhuriwa na wataalamu na wanazuoni mbalimbali ambapo Mhadhiri wa chuo hiko kutoka Idara ya Mafunzo ya Biashara na Mtaalam wa Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP), Dkt. Jasinta Msamula amemuelezea Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP-Centre), David Kafulila, kama mtaalamu mwenye uzoefu mkubwa katika masuala ya usimamizi na utekelezaji wa miradi ya ubia.

Akizungumza katika utambulisho huo, Dkt. Jasinta amebainisha kuwa Kafulila ana uelewa mpana kuhusu mifumo ya PPP na mchango wake katika kuunganisha nguvu kati ya sekta ya umma na sekta binafsi ili kuharakisha maendeleo ya kiuchumi na kijamii nchini.

Mhadhara huo umebeba mada kuu isemayo “Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP) kama chachu ya kufikia malengo ya Dira 2050”, ambapo washiriki wamepata fursa ya kujadili nafasi ya PPP katika utekelezaji wa miradi mikubwa ya maendeleo na uboreshaji wa huduma za kijamii.

Kafulila ameelezwa kuwa miongoni mwa wataalamu wanaoendelea kuhamasisha matumizi ya PPP kama nyenzo ya kupunguza mzigo wa uwekezaji kwa serikali, huku ikiimarisha ushiriki wa sekta binafsi katika kukuza uchumi na kufanikisha malengo ya muda mrefu ya taifa.
 
Kafulila Ana I'D Zaidi ya 500 jf, anatoa wapi muda na hela za kuhonga Machawa?
 
View attachment 3621742

Jasinta kitambo akili ipo
 
Wako sahihi
 
Hiyo mihadhara hua ina lengo gani hasa??Au kupiga porojo tu na kupoteza muda.Kwamba mnaandaa mihadhara kuongea PPP?Hiyo PPP inahitaji elimu gani ya kutisha jamani mpaka et mtu awe mbobezi.Maendeleo hayana siasa, tupigeni kazi kwa vitendo, tuko nyuma sana, maneno [mihadhara] yawe machache, vitendo vingi
 
Shida mwandiko wako ulishajulikana hapa unaonekana kama kituko tu
 
Aisee kesho kuna kundi la bodaboda wasiojulikana watajitokeza kumpa cheti
 
Hiyo mihadhara hua ina lengo gani hasa??Au kupiga porojo tu na kupoteza muda.Kwamba mnaandaa mihadhara kuongea PPP?Hiyo PPP inahitaji elimu gani ya kutisha jamani mpaka et mtu awe mbobezi.Maendeleo hayana siasa, tupigeni kazi kwa vitendo, tuko nyuma sana, maneno [mihadhara] yawe machache, vitendo vingi
Wewe unayo hiyo elimu tayari?
 
View attachment 3621742
Mhadhara wa umma unaofanyika katika Chuo Kikuu Mzumbe, Ndaki ya Mbeya umehudhuriwa na wataalamu na wanazuoni mbalimbali ambapo Mhadhiri wa chuo hiko kutoka Idara ya Mafunzo ya Biashara na Mtaalam wa Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP), Dkt. Jasinta Msamula amemuelezea Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP-Centre), David Kafulila, kama mtaalamu mwenye uzoefu mkubwa katika masuala ya usimamizi na utekelezaji wa miradi ya ubia.

Akizungumza katika utambulisho huo, Dkt. Jasinta amebainisha kuwa Kafulila ana uelewa mpana kuhusu mifumo ya PPP na mchango wake katika kuunganisha nguvu kati ya sekta ya umma na sekta binafsi ili kuharakisha maendeleo ya kiuchumi na kijamii nchini.

Mhadhara huo umebeba mada kuu isemayo “Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP) kama chachu ya kufikia malengo ya Dira 2050”, ambapo washiriki wamepata fursa ya kujadili nafasi ya PPP katika utekelezaji wa miradi mikubwa ya maendeleo na uboreshaji wa huduma za kijamii.

Kafulila ameelezwa kuwa miongoni mwa wataalamu wanaoendelea kuhamasisha matumizi ya PPP kama nyenzo ya kupunguza mzigo wa uwekezaji kwa serikali, huku ikiimarisha ushiriki wa sekta binafsi katika kukuza uchumi na kufanikisha malengo ya muda mrefu ya taifa.
Kafulila last month ulikuwa UDOM eti unawashawishi wanzishe degree ya PPP, leo uko Mzumbe University eti unajipongeza kuwa ni mbobezi!!

Kwani kunanini kwenye hiyo PPP hasa ambayo inahitaji upite vyuoni?

Yawezekana haujui job description ya kazi yako, au kitengo hakina kazi za kutosha ndiyo maana unazurula tu
 
Huenda hufahamu kabisa chochote kuhusu PPP,
 
View attachment 3621742
Mhadhara wa umma unaofanyika katika Chuo Kikuu Mzumbe, Ndaki ya Mbeya umehudhuriwa na wataalamu na wanazuoni mbalimbali ambapo Mhadhiri wa chuo hiko kutoka Idara ya Mafunzo ya Biashara na Mtaalam wa Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP), Dkt. Jasinta Msamula amemuelezea Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP-Centre), David Kafulila, kama mtaalamu mwenye uzoefu mkubwa katika masuala ya usimamizi na utekelezaji wa miradi ya ubia.

Akizungumza katika utambulisho huo, Dkt. Jasinta amebainisha kuwa Kafulila ana uelewa mpana kuhusu mifumo ya PPP na mchango wake katika kuunganisha nguvu kati ya sekta ya umma na sekta binafsi ili kuharakisha maendeleo ya kiuchumi na kijamii nchini.

Mhadhara huo umebeba mada kuu isemayo “Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP) kama chachu ya kufikia malengo ya Dira 2050”, ambapo washiriki wamepata fursa ya kujadili nafasi ya PPP katika utekelezaji wa miradi mikubwa ya maendeleo na uboreshaji wa huduma za kijamii.

Kafulila ameelezwa kuwa miongoni mwa wataalamu wanaoendelea kuhamasisha matumizi ya PPP kama nyenzo ya kupunguza mzigo wa uwekezaji kwa serikali, huku ikiimarisha ushiriki wa sekta binafsi katika kukuza uchumi na kufanikisha malengo ya muda mrefu ya taifa.
Bureee
 
Back
Top Bottom