Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Kesho tarehe ngapi?
Kesho ni tarehe 12/04/2015, kumbukumbu ya Hayati Edward Moringe Sokoine, Waziri Mkuu wa zamani wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kwa kuangalia digit ya mwisho ya tarehe, matokeo ni Yanga 2-0 Mbeya City.
Kwani Kesho tarehe ngapi?Kesho ni tarehe 12/04/2015,...
Kwa kuangalia digit ya mwisho ya tarehe, matokeo ni Yanga 2-0 Mbeya City.
Atapigwa 12 kama anavyostahili
kandambili kesho hamtaamini macho yenu.
kandambili kesho hamtaamini macho yenu.
Acheni kuwatisha wapinzani,leo Yanga anashinda 3-1.
Acheni kuwatisha wapinzani,leo Yanga anashinda 3-1.
Acheni kuwatisha wapinzani,leo Yanga anashinda 3-1.
Umetisha Mkuu.
Mkuu,kama unakumbuka mwaka jana nilitabiri Yanga kupata bao dakika ya saba na ikawa hivyo.Na nilikwambia wewe mnipe kazi Jangwani ya kutabiri.