Sangomwile
JF-Expert Member
- Aug 17, 2012
- 3,211
- 1,059
Tukikupa kazi ya kutabiri Yanga utatutabiria mema tu au hata mabaya? Ukitabiri mabaya na yakatokea kweli lazima kibarua chako kiote nyasi mara moja maana hatutavumilia utabiri wa jinsi hiyo. Naomba usome kitabu cha 1Falme 22:1-39 (zingatia maudhui katika mstari wa 8) unaweza kupata maandiko hayo hapa: http://www.biblica.com/uploads/pdf-files/bibles/swahili/ot/bible-swahili-1kings.pdf ili ujikumbushe jinsi utabiri mbaya unavyopokelewa.
Hayo ndiyo masharti ya ajira yako, kama unakubali nijulishe niwasiliane na viongozi wa Yanga ili kukamilisha taratibu za ajira.
Basi mkuu,ngoja niendelee tu na kibarua changu cha deiwaka.