Mbeya City kufungwa 6 na Yanga?

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
KAMA unabet bask jitayarishe hilo

Walewanyakyusa wa Dar jiandaeni kulia ndagafijo namalole namapikipiki kesho nikichapo
 
Kwani Kesho tarehe ngapi?

Kesho ni tarehe 12/04/2015, kumbukumbu ya Hayati Edward Moringe Sokoine, Waziri Mkuu wa zamani wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Kwa kuangalia digit ya mwisho ya tarehe, matokeo ni Yanga 2-0 Mbeya City.
 
Kesho ni tarehe 12/04/2015, kumbukumbu ya Hayati Edward Moringe Sokoine, Waziri Mkuu wa zamani wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Kwa kuangalia digit ya mwisho ya tarehe, matokeo ni Yanga 2-0 Mbeya City.

Atapigwa 12 kama anavyostahili
 
kandambili kesho hamtaamini macho yenu.

Tangu umezaliwa umewahi kumuona panya amemkamata paka!!?
Mbeya city itaingia uwanjan leo wakat ikijua kuwa kufungwa kwao ni lazima, hivyo watakachofanya ni kupunguza idadi ya magoli kutoka 12 hadi 6.
 
AIJALISHI mtakaa siku ngapi Dar leo ndio leo mpira unachezwa

Kuwe na mvua au radi
 
Mkuu,kama unakumbuka mwaka jana nilitabiri Yanga kupata bao dakika ya saba na ikawa hivyo.Na nilikwambia wewe mnipe kazi Jangwani ya kutabiri.

Tukikupa kazi ya kutabiri Yanga utatutabiria mema tu au hata mabaya? Ukitabiri mabaya na yakatokea kweli lazima kibarua chako kiote nyasi mara moja maana hatutavumilia utabiri wa jinsi hiyo. Naomba usome kitabu cha 1Falme 22:1-39 (zingatia maudhui katika mstari wa 8) unaweza kupata maandiko hayo hapa: http://www.biblica.com/uploads/pdf-files/bibles/swahili/ot/bible-swahili-1kings.pdf ili ujikumbushe jinsi utabiri mbaya unavyopokelewa.

Hayo ndiyo masharti ya ajira yako, kama unakubali nijulishe niwasiliane na viongozi wa Yanga ili kukamilisha taratibu za ajira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…