Toka lini simba kamla mwanaye?.Lipuli simba tungewafunga mengi tu lakini hatutaki washuke daraja.Yanga jifieni wenyewe sie hatupo huko.Nilisema juzi kwenye ile Mechi kati ya Lipuli na Simba, na leo nasema pia kuhusu mechi ya jana kati ya Mbeya City na Yanga, TFF wafanye uchunguzi wa kina, Simba na Yanga ni mafundi wa Kununua mechi au kupanga matokeo. Simba juzi ilinunua mechi na Yanga jana wamenunua mechi. Chunguza kwa makini utagundua hilo.
Kivipi?
Kwa Lipuli sote tuliona, Lipuli iliyocheza kipindi cha kwanza na kuongoza goli moja sio Lipuli iliyocheza kipindi cha pili mpaka goli kurudishwa.
Kwa hili tukio la kipuuzi la Mbeya City, maana yake Yanga wanapaswa(Nahisi) kupewa pointi za bure mezani. Ndio mwelekeo wa sheria za soka ulivyo.
Sasa jiulize ni tukio la uzembe au makusudi? Kama ni uzembe nani alizembea mpaka kila mtu uwanjani awe kimya?, kama ni makusudi basi pesa imetembea ili kosa litendeke na Yanga kuja kuvuna pointi mezani.
Acha unazi!!Yanga mbona hiyo kawaida, wakishindwa uwanjani watapewa hata pointi za mezani, chezea yanga wewe!
Au Yanga wakapige penati yaoHqkuna sheria ya kutoa point tatu, ila Mimi nashauri mbeya city wachukuliwe hatua, kwa uhuni walioufanya kwa kuharibu image ya soka letu.
Hakuna kutoa point za bure.
Ngoja nikuulize swali la kijinga!Si mchezaji tu, mtu yeyote asiyetakiwa kuwamo uwanjani (daktari, kocha, shabiki), ni wajibu wa mwamuzi kusimamisha mchezo na kumtoa. Kama mwamuzi hatasimamisha mchezo, maana yake ni kwamba ameona kila kitu kipo sawa (hata kama sio sawa). Sasa kama mambo hayapo sawa na mwamuzi ameruhusu mchezo kuchezwa, basi anayeadhibiwa hapo ni mwamuzi/waamuzi, wala sio timu kwani sio jukumu lao kufanya uamuzi
nadhani context ya hapa ni tofautiNgoja nikuulize swali la kijinga!
Mchezaji ana kadi nyekundu kapewa mechi iliyopita, mechi iliyofuata kachezeshwa, mwamuzi/waamuzi ndio wataadhibiwa kwa kumruhusu huyo mchezaji kucheza?
Ile ni faini tu hakuna kupokwa point kwa kitu kama kile, ukifanyika ujinga huo itaonekana kabisa ni mbelekoNilisema juzi kwenye ile Mechi kati ya Lipuli na Simba, na leo nasema pia kuhusu mechi ya jana kati ya Mbeya City na Yanga, TFF wafanye uchunguzi wa kina, Simba na Yanga ni mafundi wa Kununua mechi au kupanga matokeo. Simba juzi ilinunua mechi na Yanga jana wamenunua mechi. Chunguza kwa makini utagundua hilo.
Kivipi?
Kwa Lipuli sote tuliona, Lipuli iliyocheza kipindi cha kwanza na kuongoza goli moja sio Lipuli iliyocheza kipindi cha pili mpaka goli kurudishwa.
Kwa hili tukio la kipuuzi la Mbeya City, maana yake Yanga wanapaswa(Nahisi) kupewa pointi za bure mezani. Ndio mwelekeo wa sheria za soka ulivyo.
Sasa jiulize ni tukio la uzembe au makusudi? Kama ni uzembe nani alizembea mpaka kila mtu uwanjani awe kimya?, kama ni makusudi basi pesa imetembea ili kosa litendeke na Yanga kuja kuvuna pointi mezani.
Huyo mpira haujui, kipindi cha kwanza Simba walitawaliwa baada ya kiungo wao kudhibitiwa. Hawakuwa wazuri eneo la ukabaji, sub waliyoifanya ndiyo ilizaa matunda wakasawazisha. Bila ile sub wangelalaHiyo sababu uliyotaja eti kama uthibitisho kuwa simba ilinunua match ni ya kijinga sana na haina mashiko, kwahiyo we uliamini kwakuwa Lipuli walicheza mpira mzuri kipindi cha kwanza ni lazima waendelee kucheza vile vile? Ndomana ya kuwa na kocha kazi yake ni kusoma mchezo na kubadili mbinu, na second half kocha wa simba alijua hilo na kufanya sub za mapema kabisa ambazo angalau zilibadili mchezo na kuambulia sale
Umenishangaza kweli, kwahiyo mfano match ya man city na man u ambapo hadi half time city anaongoza goli 2 wanarudi second half man utd anashinda 3 na hapo utasema city waliuza match? Simba vs stand utd pia Simba anatoka kuongoza 2 bila ila mwisho wanatoka sare ya 3-3 kwahiyo Simba aliuza match? Simba vs mwadui kwhyo Simba aliuza match? Ac milan vs Liverpool uefa champions half time milan anaongoza 3 bila second half anafungwa yeye napo Ac milan aliuza match?
Uchambuzi safi wapo kenge watakuja kukutolea povu hapa bila hata hoja usiwatukane wape pole tu.Nimeangali clip nimejiridhisha dk ya 98 MBEYA city walikua 10 badala ya 9 uwanjani
Kanuni zinasemaje
Extra persons on the field of play
The coach and other officials named on the team list (with the exception of players or substitutes) are team officials. Anyone not named on the team list as a player, substitute or team official is an outside agent.
If a team official, substitute, substituted or sent off player or outside agent enters the field of play the referee must:
- only stop play if there is interference with play
- have the person removed when play stops
- take appropriate disciplinary action
If play is stopped and the interference was by:
If a ball is going into the goal and the interference does not prevent a defending player playing the ball, the goal is awarded if the ball enters the goal (even if contact was made with the ball) unless the ball enters the opponents’ goal.
- a team official, substitute, substituted or sent off player, play restarts with a direct free kick or penalty kick
- an outside agent, play restarts with a dropped ball
ndiyo maana kunakua na fourth official, ukiangalia clipa anahangaika kumuita refa kwa sababu anaju amechemsha ..hapo ilitakiwa mpira usimame ...mchezaji aliyezidi apewe onyo ima la kadi ama kutolewa nje , refa aanzishe upya mchez ama kwa kutoa adhabu ya TUTA kwa Mbeya city .................
UTATA UNAKUJA KWA SABABU REFA ALIPOITWA ILI ASIMAMISHE MCHEZO ima hakusikia lakini wakati huo huo tayari kamisaa alishaona kosa ima alifanya makusudi tu kumaliza mchezo huenda hakutegemea suala kama hili kujitokeza
1. Mchezaji wa Mbeya City anaadhibiwa kwa kutumia ujanja ambao ungeigharimu timu yake, kadhalika mchezaji huyu HAKUOMBA RUHUSA KUINGIA JAMBO AMBALO LINGEWAFANYA MAAFISA KUMZUIA KWANI MWENZAKE ALISHAINGIA
2. Refa anaadhibiwa kwa kutomsikiliza kamisaa wake, kawaida kamisa akishasimaa refa lazima ajue kuna kitu cha kusaidia NJE yeye akaendelea na mchezo hadi mwisho
3. Kamisaa hakua makini kuona mchezaji anarudi uwanjani ingawa alifanya sehemu yake kumuita refa ambaye yumkini hakumsikia
4. Maafisa wa Mbeya City hata kama mchezaji yule alifanyiwa Sub bila kujua walitakiwa wawajibike kumzuia asirudi uwanjani nao wanawajibika
HII INAITWA CHAIN OF ACCOUNTABILITY ambayo ina cite precedent katika soka
KIMSINGI MATOKEO YA UWANJANI YATABAKI KAMA YALIVYO NA HAPA ITABIDI SUALA LA UTAWALA (UWAJIBIKAJI) LICHUKUE MKONDO WAKE.
Goal scored with an extra person on the field of play
If, after a goal is scored, the referee realises, before play restarts, an extra person was on the field of play when the goal was scored:
In all cases, the referee must have the extra person removed from the field of play.
- the referee must disallow the goal if the extra person was:
- a player, substitute, substituted player, sent off player or team official of the team that scored the goal; play is restarted with a direct free kick from the position of the extra person
- an outside agent who interfered with play unless a goal results as outlined above in ‘extra persons on the field of play’; play is restarted with a dropped ball
- the referee must allow the goal if the extra person was:
- a player, substitute, substituted player, sent off player or team official of the team that conceded the goal
- an outside agent who did not interfere with play
If, after a goal is scored and play has restarted, the referee realises an extra person was on the field of play when the goal was scored, the goal can not be disallowed. If the extra person is still on the field the referee must:
The referee must report the incident to the appropriate authority.
- stop play
- have the extra person removed
- restart with a dropped ball or free kick as appropriate
Naona majibu ya kizembe!nadhani context ya hapa ni tofauti
Kwani kosa la Yanga hapa nininiYanga mbona hiyo kawaida, wakishindwa uwanjani watapewa hata pointi za mezani, chezea yanga wewe!
Jaman acheni uchambuzi uchwara hata game ya CSKA MOSCOW NA ARSENALNilisema juzi kwenye ile Mechi kati ya Lipuli na Simba, na leo nasema pia kuhusu mechi ya jana kati ya Mbeya City na Yanga, TFF wafanye uchunguzi wa kina, Simba na Yanga ni mafundi wa Kununua mechi au kupanga matokeo. Simba juzi ilinunua mechi na Yanga jana wamenunua mechi. Chunguza kwa makini utagundua hilo.
Kivipi?
Kwa Lipuli sote tuliona, Lipuli iliyocheza kipindi cha kwanza na kuongoza goli moja sio Lipuli iliyocheza kipindi cha pili mpaka goli kurudishwa.
Kwa hili tukio la kipuuzi la Mbeya City, maana yake Yanga wanapaswa(Nahisi) kupewa pointi za bure mezani. Ndio mwelekeo wa sheria za soka ulivyo.
Sasa jiulize ni tukio la uzembe au makusudi? Kama ni uzembe nani alizembea mpaka kila mtu uwanjani awe kimya?, kama ni makusudi basi pesa imetembea ili kosa litendeke na Yanga kuja kuvuna pointi mezani.
Kwani walinyimwa penaltyAu Yanga wakapige penati yao
Mwamuzi anawajibika kwa mchezo anaouchezesha yeye mchezo husika, na sio aliouchezesha siku nyingine au mwamuzi mwingine. Kwa maana hiyo, mwamuzi anatakiwa asimamishe mchezo na kumuondoa nje ya uwanja any foreign agent, na adhabu inatolewa humo humo uwanjani ndani ya dakika 90/120Ngoja nikuulize swali la kijinga! Mchezaji ana kadi nyekundu kapewa mechi iliyopita, mechi iliyofuata kachezeshwa, mwamuzi/waamuzi ndio wataadhibiwa kwa kumruhusu huyo mchezaji kucheza?
Hata sheria yake bado haijatungwa.Hili tukio halijawahi toke ktk historia ya soka duniani
TFF Wanapaswa wajiulize what was the motives behind ? Kama sio kuuziana points kati ya Mbeya na Yanga ?