Mr Antidote
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 953
- 1,304
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Au Yanga wakapige penati yao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Au Yanga wakapige penati yao
Yaani kudeka yanga wamwachie chsmdeko tu ambaye si mwingine ila ni ......anamfananisha na demiss[emoji3] [emoji3] [emoji3] pigia mstari kisha agiza POMBE baridi sana
Wanavizia tu pointi za mezani.Kwani kosa la Yanga hapa ninini
Yanga ndo waliwatuma wachezaji hawa wa Mb cty au
Sure, kilichotokea ni kwamba, mchezaji Eliud Ambokile aliumia, kutokana na ugumu wa mchezo wakaamua kufanya sub haraka na kuweka mwingine, Ambokile aliendelea kugangwa bila kujua kuwa nafasi yake ameingia mwingine, alipopona alimuomba refa kuingia akamruhusu, akaingia dimbani.Hata sheria yake bado haijatungwa.
Jambo hili ni geni katika historia ya Soka.
Mbea City watasaidia kuunda sheria mpya na hukumu kuhusu jambo hili.
Jambo hili lilipofanyika hakuna mtu aliyeligundua mapema, hadi mwishoni mwa mchezo, sio Kibendera, Refa, Kamisaa, Makocha, Wachezaji wa Yanga, Washabiki, hata wachezaji wa Mbea City hawakuelewa kwani tensheni kubwa ilikuwa kwenye mchezo, mi nadhani hata mchezaji aliyeingia hakufahamu au kukumbuka kama alikuwa amebadilishwa.