Mbeya city uzembe huu utawagharimu

Sure, kilichotokea ni kwamba, mchezaji Eliud Ambokile aliumia, kutokana na ugumu wa mchezo wakaamua kufanya sub haraka na kuweka mwingine, Ambokile aliendelea kugangwa bila kujua kuwa nafasi yake ameingia mwingine, alipopona alimuomba refa kuingia akamruhusu, akaingia dimbani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…