Kwani Kagere ni mtanzania?[emoji23][emoji23]Kacheza Umisseta na Mwigulu Nchemba
Msipate tabu tff ipo kwa ajili yenuKuna Prison mkuu kama hii game imekuwa ngumu hivi kwa hao wajela jela sijui[emoji124][emoji124]
mjomba simba lazma ale hizi swala za mbeyaKama Betina atakwenda basi ujue Mbeya City watafungwa
Uwezo wenu mdogo.Kama sio tff mikia wepesi mno,hata najiuliza kwann tuliwafunga kamoja tu?
Hapo sasamjomba simba lazma ale hizi swala za mbeya
π€£ π€£ π€£ watakua wanatucheleweshea tu ubingwa. Najua Tz Prisons wako vzr, lkn kumbuka kwamba vijana wa Msimbazi wana uchu sana na mwali. Na mwaka huu linabebwa mazimaKuna Prison mkuu kama hii game imekuwa ngumu hivi kwa hao wajela jela sijui[emoji124][emoji124]
Kwa hiyo viongozi wa Tff ndio wanahonga sio....Gsm sio viongoz wa tff
Tena haya masumbwi yamechelewa sana,huu upuuz wa tff hauvumilikiBadala kucheza mpira mnacheza masumbwi,msingekuwa kwenye hiyo nafasi
Muandae penshen ligi ikiisha wale wazee pale watakuja kufa uwanjaniSimba tukishajihakikishia kuchukua ubingwa tunaanza mikakati mipya kuhakikisha namungo,azam na kmc wanakuwa nne bora.
wengine watajijua.
TFF ndio inacheza mpira uwanjani.....tulia Utopolo.... πKama sio tff mikia wepesi mno,hata najiuliza kwann tuliwafunga kamoja tu?
Vipi mkataba wa Morrison...?Muandae penshen ligi ikiisha wale wazee pale watakuja kufa uwanjani
We mkia ivi unajua kua bila tff mngekua nafas ya 14TFF ndio inacheza mpira uwanjani.....tulia Utopolo.... π
hahaha ππππTFF ndio inacheza mpira uwanjani.....tulia Utopolo.... π
Utopolo kwa ndoto ya mchana hatari.....umebebwa mechi ya Azam....aibu tupuWe mkia ivi unajua kua bila tff mngekua nafas ya 14
We umeona mechi moja tu?toka ligi ianze hukua unaangalia mpira?mbumbumbu bhanaUtopolo kwa ndoto ya mchana hatari.....umebebwa mechi ya Azam....aibu tupu