Mbeya City vs Simba live

Mbeya City vs Simba live

Attachments

  • IMG-20200624-WA0081.jpg
    IMG-20200624-WA0081.jpg
    89 KB · Views: 1
Kuna Prison mkuu kama hii game imekuwa ngumu hivi kwa hao wajela jela sijui[emoji124][emoji124]
🤣 🤣 🤣 watakua wanatucheleweshea tu ubingwa. Najua Tz Prisons wako vzr, lkn kumbuka kwamba vijana wa Msimbazi wana uchu sana na mwali. Na mwaka huu linabebwa mazima
 
Simba tukishajihakikishia kuchukua ubingwa tunaanza mikakati mipya kuhakikisha namungo,azam na kmc wanakuwa nne bora.
wengine watajijua.
Muandae penshen ligi ikiisha wale wazee pale watakuja kufa uwanjani
 
Halafu FA tunawatoa waone wataendaje kimataifa
Simba tukishajihakikishia kuchukua ubingwa tunaanza mikakati mipya kuhakikisha namungo,azam na kmc wanakuwa nne bora.
wengine watajijua.
 
Back
Top Bottom