Mbeya City vs Simba live

[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] watakua wanatucheleweshea tu ubingwa. Najua Tz Prisons wako vzr, lkn kumbuka kwamba vijana wa Msimbazi wana uchu sana na mwali. Na mwaka huu linabebwa mazima
Ni kweli mkuu, hii game imeisha tayari.
 
Wakuu hivi kati cummins engine na weichai ipi zaidi?
 
Kazi wanayo wale jamaa wa GSM [emoji4][emoji4][emoji4].
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…