Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waya umefanyaje?tupeni taarifa sisi wengine hatuangalii mechi za tff fcWayaaaa
Leo mmeweka mezani sh ngap kwani?MBEYA CITY 0- 2 SIMBA
Endelea na mambo yako. Utaisoma gazetini.Waya umefanyaje?tupeni taarifa sisi wengine hatuangalii mechi za tff fc
Ni kweli mkuu, hii game imeisha tayari.[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] watakua wanatucheleweshea tu ubingwa. Najua Tz Prisons wako vzr, lkn kumbuka kwamba vijana wa Msimbazi wana uchu sana na mwali. Na mwaka huu linabebwa mazima
mkuu mbona mnateseka simba 🦁anatafuna swala wa mbeya 😁😁😁Waya umefanyaje?tupeni taarifa sisi wengine hatuangalii mechi za tff fc
We jamaa unazinguaMsipate tabu tff ipo kwa ajili yenu
Ndio maana yake....tunaangalia matukio ya karibuni.... 🙂We umeona mechi moja tu?toka ligi ianze hukua unaangalia mpira?mbumbumbu bhana
Timu ya tffKwan vyura wanateseka nini
Ana 56 nini? Magoli au?Mkuu eti Ni kweli kagere ana 56 ?
Haaa,mtani acha bwana.hao wazee ndo ushindi.Muandae penshen ligi ikiisha wale wazee pale watakuja kufa uwanjani
Mikia wameongeza?Wayaaaaa