Wakipaniki tu tunapoteza hii gameHii gemu Simba bado niyakwao Ni kutulia na kuwa making
Points 3 Ni muhimu leo
Jumapili na Prisons,leo mshakalia na Jumapili mnakaliaTukitoka mbeya salama ubingwa tayari
Kwaio mechi ikeisha? Au umesahau Yale ya dilunga?Jumapili na Prisons,leo mshakalia na Jumapili mnakalia
Labda dakika za nyongeza zifike 7 au 9Kwaio mechi ikeisha? Au umesahau Yale ya dilunga?