Mbeya city vs Simba SC uwanja wa Sokoine

Mbeya city vs Simba SC uwanja wa Sokoine

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Hadi Sasa mpira Ni mapumziko Hulu mbeya city wakiongoza goli 1 kwa Bila lililofungwa na Iddy seleman " Nado"

Beki Paul Bukaba ameumia na kutoka nafasi yake amechukua Erasto Nyoni
 
Okwi Muda wowote ataingia naona anapasha
 
Hii gemu Simba bado niyakwao Ni kutulia na kuwa making

Points 3 Ni muhimu leo
 
Mda wa red card, penalty na Dakika 10 nyongeza bado.
M-Pesa mtandao unasumbua.
 
Refa inabidi awalinde wachezaji wa Simba Hawa mbeya city wamekamia Sana wanacheza Bundesliga
 
Butua butua zimekuwa nyingi kwa Mbeya city
Wakipata mpira wanaosha mbele tu
 
Kagere Leo amekamiwa Sana wanamkaba Sana hapumui
 
Back
Top Bottom