Mbeya city vs Simba SC uwanja wa Sokoine

Kadi ya njano kwa Philippe odeni wa mbeya city kwa kucheza rafu
 
Simba wanafanya sub ya 3 anatoka mushid anaingia mlipili
Dakika ya 60
 
Kiwanja kibovu kabisa yani sisi kwa level yetu tunacheza viwanja vibovu kama.hivi
 
Simba wamenyimwa penati ya wazi hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…