MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Nenda soweto kwa batili oposite na moon dust .
Kitimoto cha pale kimetulia vibaya mno
Shem ujue nimekusubiri sana hapa sijakuona eti[emoji125]Anhaaa kule?
Ngoja haka kamvua kaishe niende fasta.
Shem ujue nimekusubiri sana hapa sijakuona eti[emoji125]
Eeh nilikuwepo mitaa hiyo, nimekuchungulia wee wapi (just kidding)Haaahaaa shemeji,
Ulikuwepo mitaa hiyo?
Eeh nilikuwepo mitaa hiyo, nimekuchungulia wee wapi (just kidding)
Haha hongera sanaNimebeba kitimoto moja matata nikapia huku NGONGA PUB nikadaka Kinywaji changu fulani nikapanda kitaa kuishughulikia.
A day well spent
Haha hongera sana
MKUU,VP ULIFANIKIWAJamani kwa wale wakazi wa Mbeya hebu naomba tujuzane ni wapi wanauza ile haramu yenye pua ndefu? Nimeikumbuka sana halafu sijui nitaipata wapi, hebu wenyeji naombeni msaada wa haraka.
Wasalaaam.
Yeah mkuu; Nilifanikiwa.MKUU,VP ULIFANIKIWA