MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Jamani kwa wale wakazi wa Mbeya hebu naomba tujuzane ni wapi wanauza ile haramu yenye pua ndefu? Nimeikumbuka sana halafu sijui nitaipata wapi, hebu wenyeji naombeni msaada wa haraka.
Wasalaaam.
Wasalaaam.