Pre GE2025 Mbeya: Dkt. Tulia amjengea nyumba mwananchi aliyeomba kujengewa na Rais

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

the guardian 17

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
395
Reaction score
570
Obeid Mwalopale Mkazi wa kijiji cha Matema kata ya Matema wilaya ya Kyela Mkoani Mbeya aliyemuomba Rais Samia Suluhu Hassan amsaidie kumjengea nyumba ya kuishi yeye pamoja na familia yake hatimaye amefikiwa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson baada ya taasisi yake ya Tulia Trust kuanza rasmi ujenzi wa nyumba yam zee huyo mwenye ulemavu na kuahidi kukamilika ndani ya siku kumi na nne.

Baada ya kufika katika nyumba ya awali aliyokuwa akiishi mzee Obeid mwenye mke na watoto wane Afisa Habari wa taasisi ya Tulia Trust Joshua Edward amesema, “Mzee huyu alipopata changamoto hii hizi taarifa moja kwa moja zilikuwa zikimlenga Mheshimiwa Rais lakini pamoja na wadau wengine, baada ya taarifa kufika kwa Mheshimiwa Dokta Tulia alitupa maelezo ya kuhakikisha tunafika na kuweza kuona ule uhalisia wa taarifa aliyopewa na kile ambacho tutakiona je vina uhusiano gani” Alisema Joshua.

Soma pia: Pre GE2025 Miradi kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mhandisi Kundo akagua mradi wa maji unaonufaisha zaidi ya wakazi 200,000 Chalinze
 
Obeid Mwalopale Mkazi wa kijiji cha Matema kata ya Matema wilaya ya Kyela Mkoani Mbeya aliyemuomba Rais Samia Suluhu Hassan amsaidie kumjengea nyumba ya kuishi yeye pamoja na familia yake hatimaye amefikiwa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson baada ya taasisi yake ya Tulia Trust kuanza rasmi ujenzi wa nyumba yam zee huyo mwenye ulemavu na kuahidi kukamilika ndani ya siku kumi na nne.

Baada ya kufika katika nyumba ya awali aliyokuwa akiishi mzee Obeid mwenye mke na watoto wane Afisa Habari wa taasisi ya Tulia Trust Joshua Edward amesema, “Mzee huyu alipopata changamoto hii hizi taarifa moja kwa moja zilikuwa zikimlenga Mheshimiwa Rais lakini pamoja na wadau wengine, baada ya taarifa kufika kwa Mheshimiwa Dokta Tulia alitupa maelezo ya kuhakikisha tunafika na kuweza kuona ule uhalisia wa taarifa aliyopewa na kile ambacho tutakiona je vina uhusiano gani” Alisema Joshua.
Picha tafadhali before and after
 
baada ya taarifa kufika kwa Mheshimiwa Dokta Tulia alitupa maelezo ya kuhakikisha tunafika na kuweza kuona ule uhalisia wa taarifa aliyopewa na kile ambacho tutakiona je vina uhusiano gani” Alisema Joshua.
Mwenyewe aliyelengwa kufikiwa na huo ujumbe anasemaje
 
Obeid Mwalopale Mkazi wa kijiji cha Matema kata ya Matema wilaya ya Kyela Mkoani Mbeya aliyemuomba Rais Samia Suluhu Hassan amsaidie kumjengea nyumba ya kuishi yeye pamoja na familia yake hatimaye amefikiwa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson baada ya taasisi yake ya Tulia Trust kuanza rasmi ujenzi wa nyumba yam zee huyo mwenye ulemavu na kuahidi kukamilika ndani ya siku kumi na nne.

Baada ya kufika katika nyumba ya awali aliyokuwa akiishi mzee Obeid mwenye mke na watoto wane Afisa Habari wa taasisi ya Tulia Trust Joshua Edward amesema, “Mzee huyu alipopata changamoto hii hizi taarifa moja kwa moja zilikuwa zikimlenga Mheshimiwa Rais lakini pamoja na wadau wengine, baada ya taarifa kufika kwa Mheshimiwa Dokta Tulia alitupa maelezo ya kuhakikisha tunafika na kuweza kuona ule uhalisia wa taarifa aliyopewa na kile ambacho tutakiona je vina uhusiano gani” Alisema Joshua.
View attachment 3268839
Huyu ni tapeli wa kisiasa. Luca Neghesti, diwani wangu wa kata ya Msasani kajenga nyumba nyingi tu kwa wahitaji kwenye mitaa ya Mikoroshoni, Bonde la Mpunga na Makangira lakini kakaa kimya.

Luca Neghesti ni kiongozi Bora mara million saba kuliko huyo Tulia ambaye Mbeya hakubaliki hadi anataka Mbeya Mjini igawanywe ili kumkimbia Sugu
 
Back
Top Bottom