LGE2024 Mbeya: Freeman Mbowe atangaza Nguzo na Imani nne za CHADEMA kuelekea Uchaguzi Serikali za Mitaa

LGE2024 Mbeya: Freeman Mbowe atangaza Nguzo na Imani nne za CHADEMA kuelekea Uchaguzi Serikali za Mitaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
Mkutano wa asubuhi leo Novemba 23, 2024 uliofanyika katika Kijiji cha Ipinda, Kata ya Kyela, Mbeya na kuhutubiwa na mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe

Mbowe amesema chadema inasimamia Haki, Uhuru, maendeleo ya watu na Demokrasia
 
Back
Top Bottom