Mbeya gesti yenye vyumba self contained inaanzia elfu kumi

Mikoa hii ina maisha cheap sana.
1 Mbeya
2. Songwe
3. Tabora
4. Rukwa
5. Katavi
6. Ruvuma kiasi fulani.
 
Mbona gharama sana tatizo hujanipigia simu Kuna lodge apa kwenye hio afukumi unapata na wali samaki
 
Ndio maana wenyeji wa huko wengi ni wanene.
Shauli ya misosi mingi ya bei poa.

Wakishiba safari Kanisani kushukuru.
 
Mikoa kama hyo haifai Kwa utaftaji , mzunguko wa pesa unakuwa too low, hyo mikoa inafaa kuishi mfanyakazi wa mshahara , ukiwa mwanaharakat huko ni ngumu Sana kutoboa mpak uloge kinyama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…