Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Mikoa hii ina maisha cheap sana.Huu mkoa gharama za maisha zipo chini sana. Mtu akishindwa kuishi huku basi ni bora afariki.
Nimefika hapa na kushangaa guest house nzuri kabisa na ipo sehemu nzuri, haina mambo ya hovyo lakini bei elfu kumi.
Wali samaki nimekula sehemu kwa shilingi 2500.
1 Mbeya
2. Songwe
3. Tabora
4. Rukwa
5. Katavi
6. Ruvuma kiasi fulani.