Nipo Tanga huu sio mji wa kutafuta ukitaka uenjoy maisha hapa uwe muajiriwa kwasababu vitu bei rahisi ila kweny shuhuli nyngne ni kugumu hata uvuvi nao mgumu kuna mtu aliandika hiyo post ndio uhalisia wa tanga
1 - Saa 3 usiku hakuna daladala barabarani.
2-Saa 4 usiku huoni watu nje na usiulize kwanini. Jiongeze bro!
3-Ugali wa 1500 unapata mboga 7, usisahau uono (dagaa mchele) buree.
4- Ndio jiji lenye baiskeli za kukodi kama bodaboda na kiti chenye sponji.
5- Disco wanapiga taarabu.
6- Hakuna kelele wala vurugu ni kimyaaa hadi raha.
7 - Kijana akishakuwa na uhakika wa kula na kulala anaoa hata wake watatu kwa mpigo.
8- Binti wa Kitanga mwambie apande pikipiki utalipa. Akifika mnunulie chips yai na soda. Kwisha!
9 - Ndio jiji lenye soda zake. 'Healtho' au 'Anjari'. Huko Bakhresa na Mo hawasikiki.
10 - Ukiishi na watu vizuri kuoa na kuolewa hupati shida wao ndo wanamaliza kazi.
11-Raskazone, Donge,Tanga Beach ndio ushuani kwa mafogo.
12- Maji ya kunywa siyo ya kununua dukani, ya bomba tu yanakata kiu, safi hadi raha.
13- Kwa mabinti uwe na pumzi, ukijiroga bro utatolewa jasho ujute.
14 - Kuna traffic light mbili tu pale Toyota na Mombo Hospitali.
15- Machimbo yetu yaleee ni nenda Sabasaba na Kwa Chichi. Hii ni code kwa wakware.
16 - Daladala ipo radhi kumsubiri mtu hata ikibidi kupiga rivasi kumfuata alipo.
17- Ni jiji lililopangika vizuri uswahilini, mjini mpaka ushuani.
18 - Kule madem wanaenda bar au club na madera na ushungi kichwani.
19 - Tanga kila binti anajua mapenzi na wanaheshimu wanaume.
20 - Mabinti wa Tanga wanapenda ndoa na wanajua kulea waume.