Abou Shaymaa
JF-Expert Member
- Oct 19, 2022
- 1,479
- 3,229
Karibu mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hivyo vigezo basi Mimi Tanga ndio inanifaa
Zamani Mbeya waliambiwa ni marufuku kujenga ghorofa, hii kampeni iliwahujumu sana wakukajha.
Zilikuwa stori tuu,matatemeko Kila sehemuSababu ya uwezekano wa matetemeko ya Ardhi...
Zilikuwa stori tuu,matatemeko Kila sehemu
Unafuu wa maisha una matter sana Ili uwe na saving nzuri. Mbeya unaweza kuishi maisha rahisi sana.Why not Tanga wakati kimzunguko wa hela Tanga Iko Juu?
Tanga kuna mzunguko mkubwa wa hela? Umeambiwa na Nani?Ila Tanga Kuna mzunguko mkubwa wa hela kushinda Mbeya
Nimeambiwa na takwimu za TRA na zinginezo.Tanga kuna mzunguko mkubwa wa hela? Umeambiwa na Nani?
Lakini ukaribu wa Tanga Kwa Mombasa, Zanzibar na Dar ni fursa zaidi ya kupiga pesa kushinda hata Mbeya.Mbeya kuna seheme nyingi za kumake pesa kama utakua mjanjaa
ukienda kule chunya kweny migodiii ukiiishii na watu vizuri kule michongo ipo mingi kikubwa uwe na hela
Kama unapenda kilimoo nenda kule tukuyu all the way mpaka kyela huko ndani ndani mashamba ya mipunga ya kutosha na ndizii na parachichii (utamadunii)
Mbeya mjinii pia kuna frusa za kutosha unaweza kufungua biashara yyte na ikatoa cha muhimi mtaji ….. ukimiliki bajaji mbeya hulalii njaa
Bado hujaenda huko mbalizilii watu wanalimaa mahindii sanaa na biashara za kutoshaa
Lakini ukaribu wa Tanga Kwa Mombasa, Zanzibar na Dar ni fursa zaidi ya kupiga pesa kushinda hata Mbeya.
Naona Ukiwa na eneo la Kilimo Tanga unaweza kutoka haraka Kwa sababu uko jirani na masoko makubwa tofauti na Mbeya ambayo Iko very far huko interior
Mbeya Haina biashara zozote za maana na hizo Nchi labda kidogo saruji napo nayo inaenda zaidi DRC.Mkuu mbeya imepakanaa na zambiaa kule Tundumaa bado imepakana na malawi kule kyela (kasumuluu) still bado uwezekano wa kua na masoko ni mkubwa kwa mbeya
Mkuu washakwambia mtu kwao,huwezi fananisha Mbeya na Tanga kwa mzungoko wa fedha labda kwa hali ya hewa.Ilikuaje tupe maneno,hamna kitu Jiji Lina Bandari na Lina mzunguko mkubwa wa hela kushinda Mbeya mbona?
Ukweli kuntu.Pamoja na kwamba Uchumi wa Mbeya ni mkubwa in terms of GDP kuliko Tanga ila ni agrarian in nature hivyo hakuna mzunguko mkubwa wa hela.👇👇Mkuu washakwambia mtu kwao,huwezi fananisha Mbeya na Tanga kwa mzungoko wa fedha labda kwa hali ya hewa.
Tanga Kuna pesa asikwambie mtu maana Bandari inamwaga mabilioni 👇👇Tanga panahitaji akili kumake.
Napakubali sana Tanga sema uswahili ndio mwingi.