ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
-
- #41
Najiandaa hapa , woyooo!Accumen Mo Tanga inaenda kuwa namba 3 Kwa Mapato nyuma ya Dar na Arusha ππ
View: https://www.instagram.com/p/DBf0BKAqxOT/?igsh=MTM1Yml5NTBxbWZ2OA==
Rudi Tanga kumenoga
Ndio maana LIft ya Kwanza Mbeya ilizinduliwa kwa mbwembwe na akina Mwakarobo!Zamani Mbeya waliambiwa ni marufuku kujenga ghorofa, hii kampeni iliwahujumu sana wakukajha.
Tanga Kwa Sasa kutanoga,Bandari yenu itakuwa inafanya kazi ya relief Kwa Mombasa na Dar so mtapiga sana pesa na hapo Barabara ya Kuna Singida ikikamilika ndio kutanoga zaidi ππNajiandaa hapa , woyooo!
Huko tulishatoka,Kwa Sasa tuko huku ππNdio maana LIft ya Kwanza Mbeya ilizinduliwa kwa mbwembwe na akina Mwakarobo!
Mbeya kuchafuMbeya kazi kazi
Tanga Mapenzi matupu wanaume hawafanyi kazi za uzalishaji zaidi ya kuwategemea wanawake wauze Maandazi na chai. π€£π€£π€£
Onyesha huo uchafu hapa ππMbeya kuchafu
Yaani unechagua your bestβ¦. Na Bado imefeliOnyesha huo uchafu hapa ππ
View: https://www.instagram.com/reel/DAtHMB4IVZb/?igsh=dGp4b2d6NnRlaDRx
Kufeli kiaje? Nani kukwambia ndio my best?Yaani unechagua your bestβ¦. Na Bado imefeli
Ulikuwa wapi siku zote kuyasema haya,..ππ,....yan mautamu yote hayo mnajilia peke yenu?,..ngoja nichange nauli,..nakujaNipo Tanga huu sio mji wa kutafuta ukitaka uenjoy maisha hapa uwe muajiriwa kwasababu vitu bei rahisi ila kweny shuhuli nyngne ni kugumu hata uvuvi nao mgumu kuna mtu aliandika hiyo post ndio uhalisia wa tanga
1 - Saa 3 usiku hakuna daladala barabarani.
2-Saa 4 usiku huoni watu nje na usiulize kwanini. Jiongeze bro!
3-Ugali wa 1500 unapata mboga 7, usisahau uono (dagaa mchele) buree.
4- Ndio jiji lenye baiskeli za kukodi kama bodaboda na kiti chenye sponji.
5- Disco wanapiga taarabu.
6- Hakuna kelele wala vurugu ni kimyaaa hadi raha.
7 - Kijana akishakuwa na uhakika wa kula na kulala anaoa hata wake watatu kwa mpigo.
8- Binti wa Kitanga mwambie apande pikipiki utalipa. Akifika mnunulie chips yai na soda. Kwisha!
9 - Ndio jiji lenye soda zake. 'Healtho' au 'Anjari'. Huko Bakhresa na Mo hawasikiki.
10 - Ukiishi na watu vizuri kuoa na kuolewa hupati shida wao ndo wanamaliza kazi.
11-Raskazone, Donge,Tanga Beach ndio ushuani kwa mafogo.
12- Maji ya kunywa siyo ya kununua dukani, ya bomba tu yanakata kiu, safi hadi raha.
13- Kwa mabinti uwe na pumzi, ukijiroga bro utatolewa jasho ujute.
14 - Kuna traffic light mbili tu pale Toyota na Mombo Hospitali.
15- Machimbo yetu yaleee ni nenda Sabasaba na Kwa Chichi. Hii ni code kwa wakware.
16 - Daladala ipo radhi kumsubiri mtu hata ikibidi kupiga rivasi kumfuata alipo.
17- Ni jiji lililopangika vizuri uswahilini, mjini mpaka ushuani.
18 - Kule madem wanaenda bar au club na madera na ushungi kichwani.
19 - Tanga kila binti anajua mapenzi na wanaheshimu wanaume.
20 - Mabinti wa Tanga wanapenda ndoa na wanajua kulea waume.
Sisi tuko mbali sana , nyie wadogo zetu mnatakiwa mjifunze kwetu ...Sio kula maparachichi ndiyo maana mnakuwa wafupi π π πMbeya tumeamua kuwasaidia maendeleo watu wa Tanga Kwa kuwajengea kiwanda Cha saruji ila Kwa jina la Mbeya Accumen Mo ππππ
View: https://www.instagram.com/p/DBJQpt0iDkY/?utm_source=ig_web_button_share_sheet
Mbali sana wapi? ,Hii kitu inaonesha nani yuko mbali? Labda mko mbali sN kujiremba sio Uchumi ππππSisi tuko mbali sana , nyie wadogo zetu mnatakiwa mjifunze kwetu ...Sio kula maparachichi ndiyo maana mnakuwa wafupi π π π
Ssi tuko mbali sana kwa vyovyote vile , tutawaletea Healtho mtoe ushamba jamaa zetu.Mbali sana wapi? ,Hii kitu inaonesha nani yuko mbali? Labda mko mbali sN kujiremba sio Uchumi ππππ
View attachment 3134931
Vyovyote vile vinini? Mbona huhitaji? Tanga imexidiwa na Mbeya Kwa Kila kitu isipokuwa vitu visivyo na Tija.ππSsi tuko mbali sana kwa vyovyote vile , tutawaletea Healtho mtoe ushamba jamaa zetu.
Je ni Mkoa upi unafaa Kwa kuishi nanutafutaji kati ya haya Majiji 2?
Mbeya-Ikiwakikisha Nyanda za Juu Kusini.
View attachment 3088481View attachment 3088482
View attachment 3085915View attachment 3085916View attachment 3085917View attachment 3085918View attachment 3085919
Tanga-Ikiwakilisha Kaskazini Mashariki ya Tanzania.cc Accumen Mo
View: https://youtu.be/DeN0Cqpy60w?si=Q1vfWhImYnCpRzn6View attachment 3085921View attachment 3085922
View attachment 3086598