Una maanisha nini?Mbeya uchumi ni wa mmoja mmoja watu ambao wapo kwenye sistem cheki kule chunya
Mbeya hakuna hela kama Tanga π πMbeya usiifananishe na vitu vya ajabu!
Mwaka huu wa 2024/25 Tanga inaweza shika nafasi ya 3 Kwa makusanyo makubwa ya Kodi ππMbeya hakuna hela kama Tanga π π
View: https://x.com/millardayo/status/1870465084105044426?t=NeNV9F20yuvLCl3zqJYRVQ&s=19