Mbeya haina hadhi ya jiji. Mbeya ni Kijiji Kikubwa

Wivu utawaua, hiyo Rocky City siyo size yenu Mbeya. Nyie size yenu ni Kahama na Tanga huko. Ndio maaana mkuu wa nchi kwa mwaka anaweza tembelea hiyo city hata mara tatu kwa mwaka. Tena ukome kabisa kufananaisha kijiji chenu Mbeya na Jiji la Mwanza.
TANGA PAZURI BHANA. Mbeya saizi yake ni manispaa za kahama, SINGINDA na shinyanga.
 
Mtoa mada Kuna baadhi ya.changamoto ni za kweli lakini shida SI ya wanambeya shida ni idara ya ardhi wananchi wapo mbele kuliko wao na Kuna ishu ya IRINGA na mbeya hii miji ya nyanda za juu kusini inafahamika katika geographical mji wa IRINGA upo mlimani na umetawaliwa na milima mingi yenye mawe na hii imepelekea hata Barabara nyingi za mitaa iringa ni finyu kupaki gari iringa ni ishu afu jiji la mbeya lipo bondeni na kwa kiasi kikubwa Sasa jiji limejaa makazi na ndio inapelekea tayari milima ya kwenda chunya imeanza kuvamiwa na nyanda za juu kusini miji mingi Ina shida ya milima mfano songea mc,tunduma, mbingatc ,njombe tc nk sehemu zenye tambarare kubwa ni ,sumbawanga mc ,makambako tc na rujewa haya ukilijua hili halikupi shida ko Kuna vitu lazima vitafeli katika uwekezaji huwezi ukasema Leo hii mbeya iwe na mpangilio kama dodoma ,dsm nk ni kitu ambacho hakiwezekani miji iliyo kwenye ukanda wa tambarare Ina advantage ya kukua zaidi kuliko iliyoko milimani kwa sababu ya uwepo wa maeneo maana kwenye mlima wote mtajazana sehemu moja mji unakuwa hausambai Cha msingi watu wa ardhi ni waamke wafanye kazi maana baadhi miji Ndo hivo wamesha iharibu wafanye kazi kama walichofanya dodoma miji inayo kuwa yote iwe hivo kurasimisha sio ishu hapa hata Barabara za mitaa zinakuwa za kutosha πŸ‘‡πŸ‘‡HiYo ni baadhi ya miji ya nyanda za juu kusin mbeya jiji,iringa mc ,songea mc,tunduma tc,njombe tc na makambako tc
 
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera amehoji zilikopelekwa shilingi bilioni mbili zilizotengwa na Halmashauri ya Jiji la Mbeya mwaka wa fedha 2022/23 kwa ajili ya ujenzi wa kitega uchumi kwenye eneo la Uhindini, palipokuwa na soko lililoteketea kwa moto zaidi ya miaka 10 iliyopita.

Homera ameitoa kauli hiyo wakati wa kikao cha Baraza la Madiwani wa Jiji la Mbeya ambacho pamoja na mambo mengine kinalenga kupata majibu ya hoja za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za serikali (CAG).

Nini kifanyike kukomesha ubadhilifu wa fedha za umma? Tuandikie maoni yako na tutayasoma katika taarifa yetu ya habari #AdhuhuriLive saa saba kamili #UTV.
#AzamTVUpdates
 

Siasa za kishamba hizi. Maendeleo ya kweli hayangalii vyama.
 
Katika yote hayo, hujagusa criteria za kuupa mji hadhi ya jiji! Go back to your teacher!
 
TANGA PAZURI BHANA. Mbeya saizi yake ni manispaa za kahama, SINGINDA na shinyanga.
Hio kahama isipopangiliwa vzr itakuja kuwa kijiji kikubwa miaka ya mbeleni....
Kahama haina well defined CBD na miundombinu yake mingi ni ya ovyo plus ujenzi holela unaoendelea...zile nyumba zikizeeka utakuwa kama ibadani...
 
Mkuu hapo kwa mwanza umenifurahisha sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwamba wasu **** wanaishi mabandani hahaha
 
Kuwa na milima hakuzuii mji kupangiliwa wa kukua hata kidogo...kama ni hivyo basi mji wa Mwanza usingekuwa na kupanuka vile...mwanza ina milima na ziwa juu...lakin tazama ukuaji wake...


Ishu ni serikali ya manispaa na mji husika kuwa serious na mipango yake...
 
Mbeya bonge moja la jiji, Mbeya imejengeka zaid pembezoni kwenye suala la makazi ya watu kuliko maeneo ya barabara kuu... Tizama new forest, Isyesye, Veta, Ituha, Iwambi Makazi Mapya.. Kuna makazi ya maana huko..pia huduma za kijamii Mbeya kuko vizuri, vingine ni changamoto ambazo ziko sehemu nyingine yoyote Ile... Ukitoka Dar, Dodoma, Arusha na Mwanza no doubt Mbeya inafuata.
 

Attachments

  • JamiiForums-156269090.jpg
    144.7 KB · Views: 10
  • JamiiForums-406766456.jpg
    139.1 KB · Views: 12
Milima ya mwanza haiwezi kuwa sawa na ya iringa mjomba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…