Dr kaposi sarcoma
Member
- Jul 22, 2021
- 20
- 9
Ukubwa wa old airport ni WA kiaje mkuu?maeneo tupu au makazi ya watu?!,wanaoweka stand nje ya mji wanamawazo mapana kuliko wale wanaokusanya project zote katikati ya mji kama wafanyavyo Mbeya,Mbalizi siyo sehemu ya Mbeya Jiji lakini ni ndani ya wilaya ya Mbeya,pia ni umbumbu tu wa viongozi wa mkoa kutoweza kupambana na kuipa hadhi Mbalizi kuwa halmashauri ya Mji,kupambana ni pamoja na kuset miundombinu mikubwa Karibu na Mbalizi Ili kuukuza mji huu.
Tatizo lako unawaza stendi ikijengwa IWAMBI wewe mkazi wa Ituha itakuwa mbali kufika😎,bila kujua kuwa Kuna stendi ya 88 pale,ko hutapaswa kufika stendi kuu mara Kwa mara!huo ubinafsi wenu ndiyo unaoirudisha Nyuma Mbeya
Kwa Sasa sidhani kama Kuna kata kubwa kuizidi IWAMBI Kwa eneo lililotupu ndani ya Jiji la Mbeya,kata kubwa tupu ni pamoja na Kalobe,Itende,Swaya,Mwasanga .
Waulize watu wa Mwanza Ile stand mpya wakati inajengwa kama palikuwa mjini pale,pia hata hii ya Mbezi(Magufuri)hapakuwa mjini kama uonavyo Leo pamechangamka.
Viongozi wa Mbeya wameshindwa land management,Angalia vyuo kama SAUT vilivyojibana mjini ilhali Kuna maeneo Mengi tu ndani ya Jiji yapo tupu,hongera kwao CBE wamejitokea nje kabisa ya mji(chunya road hukooo),pia ADEM nmeona jengo lao IWAMBI pale,(safi kabisa).
Changia chanya Kwa maendeleo ya mkoa wa Mbeya🙏
Umechanganikiwa mmepima Yale mawe? Dar yenyewe ni jiji ukilinganisha na majiji gani afrika?Hivi wewe kwenu ni wapi ulinganishe na Mwanza? watu wameshakwambia Mbeya ilikuwaje ikawa jiji hauwelewi. Mwanza imepimwa CBD yote, Nyegezi yote, Buswelu yote, Nyamongolo yote, Igoma yote, Ghana yote, Nyamanoro yote Nyakato yote! hivi haunaga aibu kulinganisha Mwanza na vimiji vyako hivyo?.Mwanza ile inayojengwa daraja refu nchini km 3.2,daraja la juu la sgr (Viaduct)km 1.4,soko kubwa pale City Center, stend 2 za maana, meli kubwa kuliko yoyote nchi hii.Tuwe wakweli tu Mbeya bado sana kwa Mwanza tuache chuki za kijinga hazitusaidii nchi hii ni yetu sote hata Mwanza ni kwetu wote wa Tanzania. All in all Mwanza is most developed City by everything after Dar es Salaam.
Sent from my D6503 using JamiiForums mobile app