Mbeya haina hadhi ya jiji. Mbeya ni Kijiji Kikubwa

Mbeya haina hadhi ya jiji. Mbeya ni Kijiji Kikubwa

IMG405.jpg
IMG404.jpg
 
Mbeya mnawaonea tu hawana ubavu wa ku battle na mwanza hao, naomba hii thread tuachane nayo,
 
😂😂😂😂 unakuta takwimu zinasema Mbeya ni mkoa tajiri, hivi hizi takwimu huwa zinatengenezwa na wakina nani wenye vichwa mandazi.
🔨🔨🔨🔨👇👇
juma_zuberi_homera_1720609958796204.jpg


Lazima uone aibu kuleta takwimu najua huwezi leta 😆😆
 
Usipangie watu Maisha,wewe ongea unayotamani yawe vinginevyo pita kushoto..

Mbeya ya Leo is way better than it used to be in 2010 wakati ikitangazwa kuwa Jiji..

Njoo 2025 pia kuandika utopolo wako maana by that time Barabara Kuu njia 4 itakuwa imeisha,Barabara za mitaa km 27 zitakuwa zimeisha na ujenzi wa Stand kubwa za Kisasa utakuwa unaendelea..View attachment 2656232

Njia 6 Kwa Sasa haipo sana sana Kuna mradi wa BRT mbeleni na njia ya Sasa ndio itakuwa reserved Kwa Ajili ya BRT..

Mbeya ipi ambayo watu hawajengi Makazi ya Kisasa? Wewe sema Serikali iongeze Kasi ya kupima Mji..

Kitu pekee nachokuunga mguu ni Chuo Cha Kilimo na JKT hapa Uyole wapishe waende Wilayani hayo maeneo yapimwe na yagawiwe viwanja kama ilivyo Kwa Forest au Iwambi Mpya,hakuna Cha NHC,hao NHC wakajenge Dodoma huko.View attachment 2658463

Wenyewe kazi yao ni kumtukana Tulia, badala ya kumpa malengo na majukumu.
 
Back
Top Bottom