Mbeya haina hadhi ya jiji. Mbeya ni Kijiji Kikubwa

Kwamba hiyo masterplan inahusisha ujenzi wa fremu za kupangisha CBD?
Kwanini halmashauri ya mji wa mbeya inapenda sana Fremu ?
View attachment 2656258
Haya ni matumizi mabaya ya ardhi, unawekaje mradi kama huu kwenye eneo centerd kama hilo ? Hapo ni center kabisa ilitakiwa lipigwe dude zaidi ya lile la Rock city mall, liwe ghorofa la maana na lenye varieties za maduka na supermarkets hilo eneo ni bery prime, na wameshaliharibu, hizo frame zitakua za biashara ndogo ndogo tu. It will take years and years walibomoe wajenge jengo kubwa na lamaana hapo
 
CBB ilishahama ,by the way huko Mjini Kwa Sasa kunafaa Hoteli,kumbi za mikutano na Residential Apartments au ofisi ambazo havihusiani na Biashara.
 
Cha ajabu ni kipi hapo? Dar hujawahi kutana nazo?
Sijawahi kukutana nazo, kwanza dar wangeibiwa wale mbuzi tu huku mbezi beach makonde wanaozungukazunguka wenyewe ni imani za kishirikina tu ndio zinawalindawalinda ingawaje kuna wajuba wanawaiba hivyohivyo
 
Sijawahi kukutana nazo, kwanza dar wangeibiwa wale mbuzi tu huku mbezi beach makonde wanaozungukazunguka wenyewe ni imani za kishirikina tu ndio zinawalindawalinda ingawaje kuna wajuba wanawaiba hivyohivyo
Umewahi tembea Dar yote?
 
Very contaminated city ever
 
Mzee unajitahidi sana kuipambania Mbeya, ila ukweli upo wazi kabisa mji wenu ni kijiji kikubwa chenye watu wengi basi. 70% ya nyumba hapo mbeya kijijini ni za udongo tena zilizojengwa bila mpangilio.
Kinafanana na Kijiji gani kwingine kikubwa chenye watu wengi? πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…