Mbeya haina hadhi ya jiji. Mbeya ni Kijiji Kikubwa

Mbeya inazidi Mwanza mambo yafuatayo
-Idadi ya Vyuo Vikuu
-Private Hospitals Kubwa
-Stesheni Kali ya reli
-Uchumi wa Mtu mmja mmja,Jiji la Mbeya Lina Mapato makubwa kuliko Jiji la Mwanza
-Uzuri na Mandhari ya Jiji
-Uwanja wa ndege mzuri,mkubwa na mkali
-Viwanda
-Mbeya Haina mauswazi na mabanda kama Mwanza(Slums).

Cc laizerg
 
Ukuaji upo wa aina mbili, kiumbo na kiakili. Utakuwa umekuwa kiumbo ila akili ya mtoto njiti
 
Mwanza ukiihitaji itakula mikoa yote ya nyanda za juu kusini na magharibi.
Nitajie Vyuo Vikuu vilivyopo Mwanza Ili tuone kama inaifikia Mbeya,the fact of the matter ni kwamba haiwezi fika πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Biashara
Biashara na watu mm nikionaga people Ile ya mbeya najua Hawa watu wako na Hela yangu hivyo ninachowaza ni dollar dollar baby
 
 
Moshi ni jiji kuliko mbeya ya wambea.

Utashangaa ni vivezo gani walitumia Mbeya kuwa jiji lkn Moshi ikabaki.
 
Duh au kwasababu wapinziani ndio walikua wameshika dola
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…