Mbeya hatuna hata bus la scania G7 tangia sauli hatoweke tunatia huruma sana hii michina tunapanda basi tu!

THE BEEKEEPER

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2024
Posts
1,462
Reaction score
7,157
Habari za wakati huu

Sisi wanambeya tunapenda sana scania G7 ya mineso sio hii michina ikipiga tuta unahisi uharo.
Kwanza michina ukipanda unafika umechoka tofauti na scania G7.
 
Attachments

  • FB_IMG_1723147559174.jpg
    FB_IMG_1723147559174.jpg
    61.7 KB · Views: 4
Habari za wakati huu

Sisi wanambeya tunapenda sana scania G7 ya mineso sio hii michina ikipiga tuta unahisi uharo.
Kwanza michina ukipanda unafika umechoka tofauti na scania G7.
Na huo ushamba wenu utawamaliza kwa ajali. Nimeishi Tanzania mikoa karibu yote, wasafiri wa Mbeya ndiyo wanaongoza kwa kupenda kusafiri na mabasi yanayokimbia sana. Acheni ushamba
 
Hivi magari ya Sauli ndio yameacha kupiga route?

Ina maana wanafamilia wamekosa mtu makini wa ku run hiyo miradi ya mabasi?
 
Habari za wakati huu

Sisi wanambeya tunapenda sana scania G7 ya mineso sio hii michina ikipiga tuta unahisi uharo.
Kwanza michina ukipanda unafika umechoka tofauti na scania G7.
Poleni sana Mkuu.
Mwanza wanatesa na Katarama, njia ya Arusha wanazo Dar Express kama sikosei.
Mwamba/Mwekezaji/Mjasiliamali mzawa SAULI apumzike mahala pake.
Tuombee waliobaki wawe na uthubutu kuendeleza Biashara japo siyo rahisi.
 
Na huo ushamba wenu utawamaliza kwa ajali. Nimeishi Tanzania mikoa karibu yote, wasafiri wa Mbeya ndiyo wanaongoza kwa kupenda kusafiri na mabasi yanayokimbia sana. Acheni ushamba
Kupenda kusafiri kwa kasi ni ushamba kwa vipi? Nakumbuka Magufuli alisema SGR iongezwe maximum spidi toka 150km/hr to 170km/hr kwa sababu Watanzania wanapenda spidi. Na watu wote tukafurahia. Sasa huo ni ushamba?
 
Poleni sana Mkuu.
Mwanza wanatesa na Katarama, njia ya Arusha wanazo Dar Express kama sikosei.
Mwamba/Mwekezaji/Mjasiliamali mzawa SAULI apumzike mahala pake.
Tuombee waliobaki wawe na uthubutu kuendeleza Biashara japo siyo rahisi.
Ni aibu mbeya kukosa polo G7
 
Back
Top Bottom