Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Kweli mswahili kuendeleza biashara ni changamoto kubwa
Yaani akifa tajiri tu familia inasherehekea na kugawana fito
Sijui laana hizi mliziomba nchi gani?
Mnalalaka kukosa Scania si ununue wewe kama familia imeamua kurudi kwenye umasikini ili wewe upande chati na ukifa ndugu wagawane nao wayauze?