Mbeya inalindwa na sungusungu, kulala saa sita usiku kama kijijini

Mbeya inalindwa na sungusungu, kulala saa sita usiku kama kijijini

Kifurukutu

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2013
Posts
4,641
Reaction score
6,694
Igweeeeeeee

Hakika ukiyastaajabu ya Musa utayaona ya Filauni, Nimekutana na Jambo la kustaajabisha kulingana na eneo lilipotokea

Sipingi uwepo wa makundi ya ulinzi shirikishi lakini lazima tuelewe kuna vikundi vinafaa kuwepo vijijini tu pia ni ajabu ndani ya jiji watu wanalazimishwa kulala muda ambao wanaweza kufanya biashara huku jeshi la polisi likiweka ulinzi

Ndani ya jiji unazijua raia wema wanaofanya shughuli zao?
Yaani anamove tokea city pub kwenda mbeya pazuri unamkamata?

Sasa uwepo wa biashara za usiku mlitaka nani awe mteja

Kwa hadhi ya jiji sungusungu Hana nafasi, tulipo jeshi nafasi yake watu tulindwe na si kupangiana muda wa kulala ilhali Sisi ni raia wema.. nayaandikq haha kwa masikitiko Jana nilitaka kufanya maafa baada ya kukamatwa na hao sungusungu
 
🤣🤣🤣 pole mteja wa biashara za usiku kwa kusumbuliwa na sungusungu
Mkuu shukrani ila jiji linalazimisha watu kulala
Sijui uchumi itakua saa ngapi tena hiyo ni Wikiend
 
Mbezi Louis Sungusungu wanatishia kuwadhuru watu wanaogoma kuchangia pesa.

Serikali ondoeni huu uchafu unaoitwa Sungusungu.

Watu tunalipa kodi ya mapato Tsh500,000/= kwa mwezi kwanini tugongewe mageti ili tuchangie Sungusungu.
 
Back
Top Bottom