Mhigomkami
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 1,105
- 765
Jamani kuna yeyote anayejua ule uwanja wa ndege wa kimataifa wa mbeya nini kinaendelea coz sijawahi sikia ndege zinatua na kuruka kutoka huko. It's many years now since the construction started.........au hauna viwango vya kimataifa?
Issue kubwa hapa ni kuwa kuna ongezeko la gharama kutokana kushuka kwa thamani ya fedha yetu na kwamba mkandarasi amekuwa akizungushwa sana kupata fedha kutoka serikalini kinyume na mkataba. Kwa mfano, kandarasi ameshindwa kujenga jengo kubwa la kupumzikia wasafiri (alisub contract kampuni ya kichina) lakini mpaka leo hii hakuna kinachoendelea. Runway ilikuwa iwekwe lami over six months ago wakasingizia mvua, sasa kiangazi hiki sijui watasingizia nini. Generally, ni ubabaishaji mtupu unaoendelea pale. Niliwahi kuongea na one of the senior engineer na akaniambia kuwa hata hiyo December ni ndoto....
Kwanza unaitwa uwanja wa ndege wa kimataifa wa SONGWE na siyo MBEYA!...Ukitamka hivyo unamaanisha ule mdogo wa Mwanjelwa!
Pili, uwanja huu bado haujamalizwa kujengwa, japo kimipango unatakiwa uwe tayari by December2011...tunaamini kweli utakuwa operational coming that said time.
Ishu ya Viwango ni dhana pana sana!....
Kwanza unaitwa uwanja wa ndege wa kimataifa wa SONGWE na siyo MBEYA!...Ukitamka hivyo unamaanisha ule mdogo wa Mwanjelwa!
Pili, uwanja huu bado haujamalizwa kujengwa, japo kimipango unatakiwa uwe tayari by December2011...tunaamini kweli utakuwa operational coming that said time.
Ishu ya Viwango ni dhana pana sana!...Maana ukisemea viwango, hata JNIA na KIA havina viwango vya kimataifa katika idara fulani fulani nyingi tu!...Lakini kiwango kilicho kikuu katika viwanja ni Njia ya kutua na kurukia pamoja na viambata vyake!...Kwa upande huo nikuhakikishie kuwa viwango vipo mkuu, na ni vya hali ya juu.

Pamoja na maelezo hayo mazuri nimepata kujua viwango vya viwanja vya kimataifa kwa maana kwamba si lazima ndege kubwa za kimataifa zitue pale, ila uwezo wa kutua ndege hizo pamoja na connection ya kiwanja hicho na viwanja vingine vya kimataifa. Kuna viwanja vingi tu vya kimataifa hapa duniani hakuna ndege ya kimataifa inayotua pale, ila kuna domestic airplane zinazosomba watu kwenda kwenye viwanja vikubwa zaidi.
Hii ni sawa na mmoja anayefikiri highway ni ile ambayo ipo kwa mfumo wa divided lane kumbe si kweli maana Mandela road si high way na wenzetu wangeiingiza kwenye list ya park way. Sasa ukilinganisha Barabara ya Dodoma - Kondoa - Arusha na ile ya mandela mwenye akili za kiwango changu atanikatalia kama barabara ya Dodoma Arusha si adopted highway, ila Mandela road ndiyo highway.
The GOT's commitment to supporting ATCL appears to be a matter of pride rather than business judgment (a competing private airline, Precision Air, which is linked with Kenya Airways, has operated profitably). If indeed the GOT traded oil concessions for life support for ATCL, it may have gotten a bad deal. The track record of ATCL, especially under current management, does not bode well for its future as an investment (or a reliable means of domestic transport)."