ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Ningeshangaa ukosekane huku.Usisahau kwenda kukaa Butimba,mabatini nkNimekaa Mbeya wiki nzima, Mbeya haieleweki vizuri
Huwezi kujua center ni wapi...yaani maduka makubwa na masoko yapo barabarani tu
Mji haujapangiliwa vizuri halafu barabara ni mbovu kwa sehemu kubwa
Nilikuwa nakaa pale SAE mitaa ya TANESCO