ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Ningeshangaa ukosekane huku.Usisahau kwenda kukaa Butimba,mabatini nkNimekaa Mbeya wiki nzima, Mbeya haieleweki vizuri
Huwezi kujua center ni wapi...yaani maduka makubwa na masoko yapo barabarani tu
Mji haujapangiliwa vizuri halafu barabara ni mbovu kwa sehemu kubwa
Nilikuwa nakaa pale SAE mitaa ya TANESCO
Mbona husemi kuanzia hapo Iyinga Hadi Iwambi ,mbona pako safi?Sasa kuanzia Simike, Mbembela, Nzovwi hadi Iyunga ni balaa, hakuna ramani inayoeleweka
Iwambi ni mji wa karibuni na umepangwa vizuri kwa kweli. Iyunga kuelekea MUST kuna nyumba hazipaswi kuwepo kabisaMbona husemi kuanzia hapo Iyinga Hadi Iwambi ,mbona pako safi?
Mbona sugu ndio ana exposure kuliko huyo tulia!?Hapana , hatumuonei wala hatumlaumu.
Msingi wa mada yangu ni kwamba sasa tuna mbunge mwelewa na mwenye International exposure ya jinsi mji au jiji linavyotakiwa liwe.
Ukiwaeleza mada hii waliokuwa wabunge kama Sugu utakuwa kwa kweli unamuonea tu maan hao ni zao la haya hya ma squatter.
Ni kweli ila narudia, Mbeya imezidi maana kila nyumba ina mchawi na mchungaji na waumini waabudio Mungu na ushirikinaMkuu nasisisitiza, ukiutafuta ushirikinia huna haja ya kwenda Mbeya, hapo hapo Bongo utawakuta kina Kalumanzira, wengi tu, tena na mabago ya kazi mitaani.
Ana exposure ya Mwanjelwa huyo. Shule hamna, international exposure ndoto!Mbona sugu ndio ana exposure kuliko huyo tulia!?
Mkuu unatoka pori gani na imani yako haba.Ni kweli ila narudia, Mbeya imezidi maana kila nyumba ina mchawi na mchungaji na waumini waabudio Mungu na ushirikina
Sugu kaishi uingereza kaishi marekani kaanza kwenda ulaya akiwa bwana mdogo kutokana na usanii unasemaje hana exposure?Ana exposure ya Mwanjelwa huyo. Shule hamna, international exposure ndoto!
Ukimuuliza athari za mipangomiji Mbeya, atasema wasela pale Mwanjelwa wasisumbuliwe.
Mbeya ni balaa jamani, unakasirika nini? Utakuta mtu ni muimbaji wa injili lakini usiku anaruka na kanisani hakosiMkuu unatoka pori gani na imani yako haba.
Nenda mji wowote nchini, ukiutFuta ushirikina utsupata kwa wingi, ukitafuta nyumba za ibada utazipata vile vile.
Chaguo litabaki kuwa lako mwenyewe.
Tuambie kama hakuishi kwenye maboksi!Sugu kaishi uingereza kaishi marekani kaanza kwenda ulaya akiwa bwana mdogo kutokana na usanii unasemaje hana exposure?
Mbo mbo ngafu!Mbeya ni balaa jamani, unakasirika nini? Utakuta mtu ni muimbaji wa injili lakini usiku anaruka na kanisani hakosi
New york ni sawa na mbangala si ndyo?Tuambie kama hakuishi kwenye maboksi!
Sawa na mtu kuishi Gongo la Mboto, Kitunda halafu uibadilishe Dar!
Mkuu unatetea mchovu kukubadilisha?New york ni sawa na mbangala si ndyo?
Sio suala la nani mchovu ishu hapa nani ana exposure kati ya sugu na tulia? Ushabiki tuweke pembeni tuongee ukweliMkuu unatetea mchovu kukubadilisha?
Mchovu kakubadilisha nini, 10 years mtu anaridhika na squatters, nanyi mlio kwenye hizo squatters mnaona poa.Sio suala la nani mchovu ishu hapa nani ana exposure kati ya sugu na tulia? Ushabiki tuweke pembeni tuongee ukweli