Mbeya kinara wa matukio ya ubakaji na ukatili wa kijinsia

Mbeya kinara wa matukio ya ubakaji na ukatili wa kijinsia

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
Katika kuadhimisha siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia Nchini, Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Juma Homera amesema visa vya ubakaji vimekua kinara katika matukio yaliyo ripotiwa ya ukatili wa kijinsia Mkoani Mbeya.

Homera ametoa takwimu hizo katika mkutano na waandishi wa habari ambapo amesema Kwa mwaka huu jumla ya matukio 562 yameripotiwa Huku ubakaji ikiwa na visa 336, ikifiatiwa na matukio ya kulawiti, Shambulio la kudhuru mwili, Shambulio la aibu na kutelekeza familia.

Nao baadhi ya Wanawake walifayiwa ukatili wa kinsia Mkoani Mbeya wameeleza namna walivyofanyi ukatili huo ikiwemo kipigo kutoka Kwa wanaume zao.
 
Back
Top Bottom