Mbeya kuna mtu anatengeneza hii kifaa msije sema sijawambia

Mbeya kuna mtu anatengeneza hii kifaa msije sema sijawambia

Hii anajenga kama ukumbusho? maana Mwenyezi Mungu aliapa kwamba hataiangamiza tena nchi kwa gharika, labda angejikita kutengeneza mwamvuli mkubwa wa kuzua jua kali linalosababishwa na mabadiliko ya tabia nchi....
 
Habarini za mda huu ndugu zangu, kule Mbeya wilaya ya Kyela kata ya Ipinda kuna mwamba anatengeneza hii kifaa kwasabu nimeona nikasema nije kuwaeleza ndugu zangu ili badaye tusije laumiana kusema cjawambia.

HAYA WATU WA MBEYA

UGONILE!

View attachment 2180118
Poleni wote lioahidiwa kupanda Safina, nimerudi usiku huu toka Ipinda ya Kyela ambako nikiwa na kikosi tuliitafuta mashambani bahati mbaya hatukuiona pamoja na kuwahusisha wazee wa busara hatukufanikiwa. Tunawashauri kila mmoja ajiandalie beseni kubwa lakumtosha na mwamvuli.
 
Back
Top Bottom