Mbeya kuna mtu anatengeneza hii kifaa msije sema sijawambia

Hii anajenga kama ukumbusho? maana Mwenyezi Mungu aliapa kwamba hataiangamiza tena nchi kwa gharika, labda angejikita kutengeneza mwamvuli mkubwa wa kuzua jua kali linalosababishwa na mabadiliko ya tabia nchi....
 
Poleni wote lioahidiwa kupanda Safina, nimerudi usiku huu toka Ipinda ya Kyela ambako nikiwa na kikosi tuliitafuta mashambani bahati mbaya hatukuiona pamoja na kuwahusisha wazee wa busara hatukufanikiwa. Tunawashauri kila mmoja ajiandalie beseni kubwa lakumtosha na mwamvuli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…