Lyrics Master
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 479
- 670
Asante sanaKuna saluni ipo Kabwe (sina uhakika na jina ila kuna Stend na maduka ya ghorofa)ulizia hapo nyingine ipo Uhindini.
πππDuuh mnyakusa akufanyie masage najaribu kui magine lakini basi hayanihusu au mnasemaje ndugu zangu.
Ilemi tena,duuuhpale ilemi Kuna salon wanafanya massage ya maparachichi
SawaNenda Desderia Hotel (kwa taita Sugu) utapewa mwongozo.
Kikubwa uwe na pesa tu.
Mbeya ni Lindi iliyochangamkaMbeya sio Simiyu mkuu, hata Casino zipo.
Hawachanganyi na vile vindizi vidogo vya kuiva, na mafyurisi kweli?pale ilemi Kuna salon wanafanya massage ya maparachichi